John Gregory
JF-Expert Member
- Jul 14, 2019
- 1,060
- 1,959
DuuhSalam Wakuu
Kama heading inavyojieleza, Nipo mkoani, Je ninawezaje kutumia fedha hi niliyonayo kufikia malengo yangu ndani ya muda tajwa?
Betting?Mpe simba kesho na yanga Jumapili unaamka na hela yako
Ndo uhakikaBetting?
Beti mpe Brazil dhidi ya Cameroon tia mzigo woteSalam Wakuu
Kama heading inavyojieleza, Nipo mkoani, Je ninawezaje kutumia fedha hi niliyonayo kufikia malengo yangu ndani ya muda tajwa?
Eneo hatari ndiyo eneo salama mkuu.Vijana wana shauri kubeti tu, acheni ujinga mazee huko ku bet ni kurisk sana.
Salam Wakuu
Kama heading inavyojieleza, Nipo mkoani, Je ninawezaje kutumia fedha hi niliyonayo kufikia malengo yangu ndani ya muda tajwa?
Jidanganyeni ila sio kwenye ku betEneo hatari ndiyo eneo salama mkuu.
Kwenye risk ndiyo kuna hela.
Sijakuelewa mkuuMpe Simba na mechi iwe na magoli mawili bila shaka unapata mara 2 ya hela yako
DuuuhBeti mpe Brazil dhidi ya Cameroon tia mzigo wote