Anzisha uzi wako unaweza pata mawazo tofauti na kujikuta unapata kitu uhakika kama bongo jeupeNATAFUTA SIMU IPHONE 6 PLUS NA NOTE 5 BAJETI YANGU 450,000 KWA KILA MOJA
300 naweza kukufikiria.Unauza au?,naweza pata kwa 250k[emoji125][emoji125]
Mkuu honestly note 5 isiokua na flaws ukipata kwa cheap sana 500k.NATAFUTA SIMU IPHONE 6 PLUS NA NOTE 5 BAJETI YANGU 450,000 KWA KILA MOJA
Nimeshanunua chiefChukua c10 techno mpya
Nimenunua tayariNitumie hiyo hela nikuletee simu.
Kwa hii hela heri ununue gazeti ujipepe.Wakuu nina hela hapa sasa nataka kutimiza lengo langu la kununua simu yenye kamera na betri Nzuri mimi ni mtu wa Picha sana ushauri wenu tafadhari kabla matatizo hayajazuia lengo langu
0718295182
Sawa mzeeKwa hii hela heri ununue gazeti ujipepe.
Hii imetumuka mda gani mkuu??Kaka kwa price hiyo wapata Samsung note 4 slightly used iliyonyooka full box.
Tuna nyeupe na nyeusi
Memory 32 gb
Ram 3 gb
Camera 16mp
Battery 3220mAh
Network LTE 4g.
Contacts 0739332255 or 0652332255.
Tupo Ilala
J7 kwa 300 mkuu??Samsung j7 nzuri
Duh 300!!!! HupatiJ7 kwa 300 mkuu??
Me nataka mkuuDuh 300!!!! Hupati
350,000 unaweza pata
Tafuta mwaminifu uagize Dubai au OmanDuh 300!!!! Hupati
350,000 unaweza pata
Tafuta mwaminifu uagize Dubai au Oman
Dooh maswala ya kuagiza tenaTafuta mwaminifu uagize Dubai au Oman