Nina 350,000 nishauri simu ya kununua

Nina 350,000 nishauri simu ya kununua

Maisha haya bwana,,wew una 350 unawaza cm mm nawaza 350 nipate wapi nilipe ada,,daaa
Hiyo simu ndo itaniweka mjini aisee yaani kila mtu anawekeza kwa anachoona kina manufaa kwake bila simu hiyo ntakua ombaomba baada ya kuikamata maisha yangu laini

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Napatikana Ilala boma.
Pia Agrey st Kariakoo lakini nafanya free delivery pia kwa Dar.
Note 4 zipo bado mkuu karibu.
Hapa napeleka simu
c8a94df3ed7e9ec4f118f903432e83e3.jpg

11002b7829ba02f5d0388e7a0276ae91.jpg
Bila shika inakuja kwangu hii kazi Nzuri sana Idriss yaani sasa ofisi yangu inaenda kuwa ya moto

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Kuna Xiaomi MI Redmi 4X 2017.
Ram-3GB.
Internal Memory-32GB.
Ina Run Android Nougat 7.1.2.
Ina uwezo wa 4G,MIUI Version ni Stable 9.1.1.
Camera ndio usiulize kwa Xiaomi MI.
 
Kuna Xiaomi MI Redmi 4X 2017.
Ram-3GB.
Internal Memory-32GB.
Ina Run Android Nougat 7.1.2.
Ina uwezo wa 4G,MIUI Version ni Stable 9.1.1.
Camera ndio usiulize kwa Xiaomi MI.
Ndo za kuagiza hizo
 
Kuna Xiaomi MI Redmi 4X 2017.
Ram-3GB.
Internal Memory-32GB.
Ina Run Android Nougat 7.1.2.
Ina uwezo wa 4G,MIUI Version ni Stable 9.1.1.
Camera ndio usiulize kwa Xiaomi MI.
Unauza au?,naweza pata kwa 250k
 
Napatikana Ilala boma.
Pia Agrey st Kariakoo lakini nafanya free delivery pia kwa Dar.
Note 4 zipo bado mkuu karibu.
Hapa napeleka simu
c8a94df3ed7e9ec4f118f903432e83e3.jpg

11002b7829ba02f5d0388e7a0276ae91.jpg
Mkuu, A7 ya 2017 inapatikana kwa kiasi gani?
 
Back
Top Bottom