Nina 350,000 nishauri simu ya kununua

Nina 350,000 nishauri simu ya kununua

BANGO JEUPE

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2015
Posts
3,088
Reaction score
2,174
Wakuu nina hela hapa sasa nataka kutimiza lengo langu la kununua simu yenye kamera na betri Nzuri mimi ni mtu wa Picha sana ushauri wenu tafadhari kabla matatizo hayajazuia lengo langu
0718295182
 
wakuu nina hela hapa sasa nataka kutimiza lengo langu la kununua simu yenye kamera na betri Nzuri mimi ni mtu wa Picha sana
Ushauri wenu tafadhari kabla matatizo hayajazuia lengo langu
0718295182
KANUNUE TECNO K7 220000 na chenj ya bando inabaki..
 
Back
Top Bottom