Inatosha ngapi kwa simu gani mzeeHela yako ndogo sana kwa simu unayoitaka
N2 tecno

Mie sina ina wadau wangu wanzo mkuu.Plastations hamna hapo ofisini kwenu? Maana nyie ni wakali wa haya mambo ya digital..
Niulizie bei ps3 iliyofanyiwa chippingMie sina ina wadau wangu wanzo mkuu.
Pouwa mkuuNiulizie bei ps3 iliyofanyiwa chipping
Ndugu nimeipenda hiyo not4 japokuwa Hilo tangazo sjatoa mimi vp ofis yako inapatikana wapiKaka kwa price hiyo wapata Samsung note 4 slightly used iliyonyooka full box.
Tuna nyeupe na nyeusi
Memory 32 gb
Ram 3 gb
Camera 16mp
Battery 3220mAh
Network LTE 4g.
Contacts 0739332255 or 0652332255.
Tupo Ilala
bei gani hii Dukani...?Nunua tecno cx, mambo yake sio kitoto
Napatikana Ilala boma.Ndugu nimeipenda hiyo not4 japokuwa Hilo tangazo sjatoa mimi vp ofis yako inapatikana wapi
Hebu check na huyu mdauNiulizie bei ps3 iliyofanyiwa chipping
Note 3 naweza kupata kwa bei gan?Yes yes mkuu it comes with full original accessories.
Karibu
AsanteHebu check na huyu mdau
0784977269
Honestly note 3 tumeacha kuleta muda kidogo.Note 3 naweza kupata kwa bei gan?
S5, S4 vp na ni za nchi gan? Nijb plz
Samsung zenu ni za nchi gan?Honestly note 3 tumeacha kuleta muda kidogo.
Kwa note series tuna note 4, note 5, na note edge 32 gb na 64 gb.
Kwa S series tunaanzia S5(though zimeisha pia)
Tuna s6, s6 edge, s6 edge + na S7 edge. 32 gb hadi 128 gb
Karibu mkuu.

Though kwa note 3 iliyonyooka mkorea/mjapan / USNote 3 naweza kupata kwa bei gan?
S5, S4 vp na ni za nchi gan? Nijb plz
Samsung j7 nzuriWakuu nina hela hapa sasa nataka kutimiza lengo langu la kununua simu yenye kamera na betri Nzuri mimi ni mtu wa Picha sana ushauri wenu tafadhari kabla matatizo hayajazuia lengo langu
0718295182