mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 21,944
- 43,358
Ndoa yako ni kizungumkuti, poleunasema miez niliolewa November ... December wakaja wanafunzi kuja kusoma tuition mjini acha katika maisha yako usije ukamshaur mwanao kuolewa na wasukuma

Haaa haa Kinyampera asiejijua!Huyo hana adabu khabithi l'amali, mwanahizaya mkubwa aliekosa mafunzo. Mshenzi mmoja asiejua zuri wala baya, mmbwa koko aliekosa malezi ya wazazi wake.
Mwanamke kinyampera asiejijua msungo mkubwa. Uso umemparama mkosa soni mshenzi huyo.
Ndugu yangu nakusihi fanya juu chini umtimue hugo mbwa koko laa sivyo utakuja juta.
Ratiba nzuri ila sio rafiki kipindi Cha mjomba magu,utajipa stress tu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Et mjomba wake, yaan hata kusema "mme wangu" ni shidah?Natumai wazima wote.
Naomben mawazo yenu hasa wanawake mlioko kwenye ndoa
Mi nipo ndoan miez michache tu nimeolewa baada ya miez 2 akaja mtoto wa wifi yangu naishi nae hapa
Sasa Kuna vitabia anavyo ambavyo kweli kibinadamu vinanikwaza ila navumilia sababu najua tumetoka familia tofauti na tumelelewa malezi tofauti..
Vingi napotezea tu sababu najua may be utoto au!
Bint Anamika 25 tabia yake kubwa inayonikera nikuingia chumbani kwangu yeye anachumba chake lkn akiwa nashida anaingia tu haijalishi atanikutaje labda navaa wala hajali binafsi naona kitu Cha ajabu sababu tulivyokua chumba Cha baba na mama Cha kuheshim na tulikua tunaingia kwa emergency, nilimuita nikamwambia ukiwa na shida chumbani niambie au bisha hodi lkn haiajsaidia
2) tabia ya pil anafanya vitu anavyotaka yeye mfano akitaka kupika haulizi tunapika Nini anapika anavyojisikia na anavyotaka yeye unakuta hela niliyoachiwa ikiisha naulizwa Mimi nashindwa kumwambia mjomba ake napotezea tu.
Kila siku anakuja na marafiki wapya hata anitambulishi Wala siwajui napishanao tu naweza kutana na mtu jikon au chumbani kwake hata cjui Ni Nan serious nakosa Amani nashindwa nifanyeje
Kibaya mjomba wake anaamini huyu bint yuko parfect 100% hata akikosea anaogopa kumwambia so nashindwa nifanyeje
...Unaendekeza Unafiki wa sisi Waafrika ndugu.Yaani mgeni aje kwangu halafu anipande kichwani haiwezekani kabisa lazima afate masharti ya nyumbani kwangu.
...Una hoja nzito hapo, Mkuu!Chunguza vizuri, ukute ni mke mwenzio.
pole dada huyo bint ashndwe na alegee hilo ni shetan lataka kuharibu ndoa yako,cha msngi mchane mble ya mjomba wake usiogope kituNatumai wazima wote.
Naomben mawazo yenu hasa wanawake mlioko kwenye ndoa
Mi nipo ndoan miez michache tu nimeolewa baada ya miez 2 akaja mtoto wa wifi yangu naishi nae hapa
Sasa Kuna vitabia anavyo ambavyo kweli kibinadamu vinanikwaza ila navumilia sababu najua tumetoka familia tofauti na tumelelewa malezi tofauti..
Vingi napotezea tu sababu najua may be utoto au!
Bint Anamika 25 tabia yake kubwa inayonikera nikuingia chumbani kwangu yeye anachumba chake lkn akiwa nashida anaingia tu haijalishi atanikutaje labda navaa wala hajali binafsi naona kitu Cha ajabu sababu tulivyokua chumba Cha baba na mama Cha kuheshim na tulikua tunaingia kwa emergency, nilimuita nikamwambia ukiwa na shida chumbani niambie au bisha hodi lkn haiajsaidia
2) tabia ya pil anafanya vitu anavyotaka yeye mfano akitaka kupika haulizi tunapika Nini anapika anavyojisikia na anavyotaka yeye unakuta hela niliyoachiwa ikiisha naulizwa Mimi nashindwa kumwambia mjomba ake napotezea tu.
Kila siku anakuja na marafiki wapya hata anitambulishi Wala siwajui napishanao tu naweza kutana na mtu jikon au chumbani kwake hata cjui Ni Nan serious nakosa Amani nashindwa nifanyeje
Kibaya mjomba wake anaamini huyu bint yuko parfect 100% hata akikosea anaogopa kumwambia so nashindwa nifanyeje
jaman lakin punguza ukal wa.manenoHuyo hana adabu khabithi l'amali, mwanahizaya mkubwa aliekosa mafunzo. Mshenzi mmoja asiejua zuri wala baya, mmbwa koko aliekosa malezi ya wazazi wake.
Mwanamke kinyampera asiejijua msungo mkubwa. Uso umemparama mkosa soni mshenzi huyo.
Ndugu yangu nakusihi fanya juu chini umtimue hugo mbwa koko laa sivyo utakuja juta.
Mkuu umekosea hii comment au mlengwa ni mimi 🤔...Unaendekeza Unafiki wa sisi Waafrika ndugu.
Yaani mtu yuko kwenye Himaya yako halafu hana adabu hivyo na wewe unamnyamazia tu anakupanda kichwani unaishia kuja kulalamikia huku JF, mpendwa?
Ama ni kama alivyosema mkuu mmoja humu kwamba labda na wewe hujaolewa ndoa ya kweli hivyo Hujiamini?
Uswahili ambao mmeishafanya wa Kuoana kisha miezi Miwili wameishawaletea mzigo, halafu mzigo wenyewe hauna adabu hivyo halafu bado unauchekea..!!! Timua !!!
Sent using Jamii Forums mobile app
I can seeThey hacked my account! Holy shit
Mnatafuta wapi!Miaka 25 kwa mjomba anasubiri nini???? Sisi wenzie wenye umri huo tunatafuta pesa huku kimpango wetu yeye kashikiria hapo anasoma????
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamjambo huko kwenu???
SijamboHujambo kapeace
thanks for seeing thatI can see
uniudhi mara ngapi?? nimeamua kunyamaza tu hahahaha
Huyo hana adabu khabithi l'amali, mwanahizaya mkubwa aliekosa mafunzo. Mshenzi mmoja asiejua zuri wala baya, mmbwa koko aliekosa malezi ya wazazi wake.

huyu ni wewe!?