Senorita23
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 390
- 489
They hacked my account! Holy shitHivi ni wewe umeandika hapa or somebody hacked your account?
Duh!!!Tutaacha aisee..ila heshima.
Tunaogopa kumkwaza..just imagine hali ni mbaya mkazo wa Magu.ye anategemea mshahara wa mume kulipia ada na kila kitu.bajeti ya nyumbani imeshuka..mgeni anankunywa chai na mkate mzima..
Kama tumenunua vitumbua anatusua Tisa au kumi..
Ugali sasa mchana...bado maji ya muoga anaagiza awekewe huku yupo sebleni
Mwingine unataka makange kila siku..hataki ugali..kusahau kwamba katoka kijijni ndizi zipo shamba .huku mjini hela tu
Unataka soda kila siku..ilhali mwenyeji wenyewe hawanywi kila siku.
Sent using Jamii Forums mobile app
Thank me thenDu!!! jaman nimejikuta tu nacheka mwenyewe ha ha ha we nilikua na hasira ila nimecheka
Rafiki, they hacked my account
Niaje mkuu???😀😀😀😀
Aisee nimecheka!
Haya matusi yote ni mapya, sijawahi kuyasikia popote!
- KANA -
Pole sana ndugu ila inabidi ukomaeMimi huyu wa kwangu Kila akitoka anarudi na marafiki zake ata 4 hv anakuja hata akutambulishi wanapakua ulichopika wanakula wanaondoka
Hamjambo huko kwenu???Pele limepata mkunaji!!!sipati picha angekukuta wewe
😋😋😋Uwiii![]()
Hujambo kapeaceMchambo heavy
Mtoa mada unapenda kuishi kimaigizo/ kinafiki yaani unaumia na unaonewa ila unaogopa macho ya mumeo na nduguze
Jiandae kuugua sonona
Sent using Jamii Forums mobile app
Unashindwaje kutumia mamlaka uliyonayo,? labda kama bado hujaolewa rasmiNatumai wazima wote.
Naomben mawazo yenu hasa wanawake mlioko kwenye ndoa
Mi nipo ndoan miez michache tu nimeolewa baada ya miez 2 akaja mtoto wa wifi yangu naishi nae hapa
Sasa Kuna vitabia anavyo ambavyo kweli kibinadamu vinanikwaza ila navumilia sababu najua tumetoka familia tofauti na tumelelewa malezi tofauti..
Vingi napotezea tu sababu najua may be utoto au!
Bint Anamika 25 tabia yake kubwa inayonikera nikuingia chumbani kwangu yeye anachumba chake lkn akiwa nashida anaingia tu haijalishi atanikutaje labda navaa wala hajali binafsi naona kitu Cha ajabu sababu tulivyokua chumba Cha baba na mama Cha kuheshim na tulikua tunaingia kwa emergency, nilimuita nikamwambia ukiwa na shida chumbani niambie au bisha hodi lkn haiajsaidia
2) tabia ya pil anafanya vitu anavyotaka yeye mfano akitaka kupika haulizi tunapika Nini anapika anavyojisikia na anavyotaka yeye unakuta hela niliyoachiwa ikiisha naulizwa Mimi nashindwa kumwambia mjomba ake napotezea tu.
Kila siku anakuja na marafiki wapya hata anitambulishi Wala siwajui napishanao tu naweza kutana na mtu jikon au chumbani kwake hata cjui Ni Nan serious nakosa Amani nashindwa nifanyeje
Kibaya mjomba wake anaamini huyu bint yuko parfect 100% hata akikosea anaogopa kumwambia so nashindwa nifanyeje
hahaha hapo ndipo unagundua watu walishavurugwa kitambo wanasubiri mtu wa kuliamsha dude wafanye yaoHuyo hana adabu khabithi l'amali, mwanahizaya mkubwa aliekosa mafunzo. Mshenzi mmoja asiejua zuri wala baya, mmbwa koko aliekosa malezi ya wazazi wake.
Mwanamke kinyampera asiejijua msungo mkubwa. Uso umemparama mkosa soni mshenzi huyo.
Ndugu yangu nakusihi fanya juu chini umtimue hugo mbwa koko laa sivyo utakuja juta.
Hahahahahahahaahhahaha hapo ndipo unagundua watu walishavurugwa kitambo wanasubiri mtu wa kuliamsha dude wafanye yao
'Gear yourself to solutions in every problem'
Nami ndio nashangaa,kama yuko kwa mjomba asijisaulishe kuwa we we ni mkaza mjomba,Yani ningekuwa Mimi namtimua maaapeeeemaaaa maana ukicheka na mbwaYaani mgeni aje kwangu halafu anipande kichwani haiwezekani kabisa lazima afate masharti ya nyumbani kwangu.
Maimatha !! Nmesoma mara nne, uzi wako huu.
Nasijawahi soma uzi kwa jukwaa la MMU zaid ya mara mbili.
Nachoweza Kukuhakikishia wewe na WanaJF wengine nikwamba
Wewe mwenyewe ni Bonge la Tatizo na Jipu linalohitaji kupasuliwa ili uwe sawa .
Usipofanya mabadiliko. Niwazi ndoa itakushinda. Na hii inaonyesha ktk safar yako ya kimaisha hususani mahusiano ulikua Mwingi wa MATATIZO.
The Devil puts a spoonful of honey into neighbor's Wife