Nimueleze mjomba wake?

Nimueleze mjomba wake?

Natumai wazima wote..
Naomben mawazo yenu hasa wanawake mlioko kwenye ndoa
Mi nipo ndoan miez michache tu nimeolewa baada ya miez 2 akaja mtoto wa wifi yangu naishi nae hapa
Sasa Kuna vitabia anavyo ambavyo kweli kibinadamu vinanikwaza ila navumilia sababu najua tumetoka familia tofauti na tumelelewa malezi tofauti......
Vingi napotezea tu sababu najua may be utoto au
Bint Anamika 25 tabia yake kubwa inayonikera nikuingia chumbani kwangu yeye anachumba chake lkn akiwa nashida anaingia tu haijalishi atanikutaje labda navaa wala hajali binafsi naona kitu Cha ajabu sababu tulivyokua chumba Cha baba na mama Cha kuheshim na tulikua tunaingia kwa emergency, nilimuita nikamwambia ukiwa na shida chumbani niambie au bisha hodi lkn haiajsaidia ...
2) tabia ya pil anafanya vitu anavyotaka yeye mfano akitaka kupika haulizi tunapika Nini anapika anavyojisikia na anavyotaka yeye unakuta hela niliyoachiwa ikiisha naulizwa Mimi nashindwa kumwambia mjomba ake napotezea tu.... Kila siku anakuja na marafiki wapya hata anitambulishi Wala siwajui napishanao tu naweza kutana na mtu jikon au chumbani kwake hata cjui Ni Nan serious nakosa Amani nashindwa nifanyeje
Kibaya mjomba wake anaamini huyu bint yuko parfect 100% hata akikosea anaogopa kumwambia so nashindwa nifanyeje
Nadhani fanya hivi.....
1. Mwambie mumeo hizo tabia. lakini kama huwa anadhani huyo binti ni 100% perfect, tegemeo ubishi, lakini ukizidi, siku apika chochote, mtengee mumeo, au akimaliza, we wala usihangaike kupika, subiri hadi atakaporudi mwambie kuwa vimeisha

2. Unaweza mtafuta mtu unayeelewana naye kwenye familia yao. Mwite aje kwako kama kutembea au kusailimia then mpe taarifa hiyo ili yeye aseme na binti. Akae hapo kwenu siku kadhaa ambazo atazitumia kuchunguza na atakapoona kimojawapo au vyoite vimetokea amkalishe binti huyo na kumweleza. AKibisha yeye ndo amwambie mumeo

3. Jenga tabia ya kufunga chumba chako (kama hufanyi hivyo). Tembea na ufunguo kila unapokwena, VIle vile hakikisha kila unapokuwa chmbani, umejifungia kwa ndani

4. Fanya mpango siku moja binti aingie ndani then amkute mjomba chumbani….

5. HATUA YA MWISHO NI KUMFUKUZA, LAKINI BAADA YA KUJARIBU HAYO YA JUU
 
Aggghhh wewe acha tu aggy! Unajua baadhi ya wanawake maskini wapolewapoleee wanaonewa mpaka Sisi wenye mioyo ya huruma tunajiskia vibaya
Hayo yapo sana...mi na upole wangu yakinifika sijui ntachukua hatua gani yarabii ehh!
Kuna ndugu yangu ye ana ukali mixer ubabe ila ananywea kama muhusika ni mzee au kamzidi tu umri.kuishi na watu kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo hana adabu khabithi l'amali, mwanahizaya mkubwa aliekosa mafunzo. Mshenzi mmoja asiejua zuri wala baya, mmbwa koko aliekosa malezi ya wazazi wake.

Mwanamke kinyampera asiejijua msungo mkubwa. Uso umemparama mkosa soni mshenzi huyo.

Ndugu yangu nakusihi fanya juu chini umtimue hugo mbwa koko laa sivyo utakuja juta.
Aseee...! Ukimwambia haya maneno live si atakua marehemu fasta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo hana adabu khabithi l'amali, mwanahizaya mkubwa aliekosa mafunzo. Mshenzi mmoja asiejua zuri wala baya, mmbwa koko aliekosa malezi ya wazazi wake.

Mwanamke kinyampera asiejijua msungo mkubwa. Uso umemparama mkosa soni mshenzi huyo.

Ndugu yangu nakusihi fanya juu chini umtimue hugo mbwa koko laa sivyo utakuja juta.
Hivi ni wewe umeandika hapa or somebody hacked your account?
 
Acheni upole uliozidi
Tutaacha aisee..ila heshima.
Tunaogopa kumkwaza..just imagine hali ni mbaya mkazo wa Magu.ye anategemea mshahara wa mume kulipia ada na kila kitu.bajeti ya nyumbani imeshuka..mgeni anankunywa chai na mkate mzima..
Kama tumenunua vitumbua anatusua Tisa au kumi..
Ugali sasa mchana...bado maji ya muoga anaagiza awekewe huku yupo sebleni
Mwingine unataka makange kila siku..hataki ugali..kusahau kwamba katoka kijijni ndizi zipo shamba .huku mjini hela tu
Unataka soda kila siku..ilhali mwenyeji wenyewe hawanywi kila siku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo hana adabu khabithi l'amali, mwanahizaya mkubwa aliekosa mafunzo. Mshenzi mmoja asiejua zuri wala baya, mmbwa koko aliekosa malezi ya wazazi wake.

Mwanamke kinyampera asiejijua msungo mkubwa. Uso umemparama mkosa soni mshenzi huyo.

Ndugu yangu nakusihi fanya juu chini umtimue hugo mbwa koko laa sivyo utakuja juta.
Du!!! jaman nimejikuta tu nacheka mwenyewe ha ha ha we nilikua na hasira ila nimecheka
 
Huyo hana adabu khabithi l'amali, mwanahizaya mkubwa aliekosa mafunzo. Mshenzi mmoja asiejua zuri wala baya, mmbwa koko aliekosa malezi ya wazazi wake.

Mwanamke kinyampera asiejijua msungo mkubwa. Uso umemparama mkosa soni mshenzi huyo.

Ndugu yangu nakusihi fanya juu chini umtimue hugo mbwa koko laa sivyo utakuja juta.
Aisee, is this you?

Aisee nimecheka!

Haya matusi yote ni mapya, sijawahi kuyasikia popote!

- KANA -
 
Tutaacha aisee..ila heshima.
Tunaogopa kumkwaza..just imagine hali ni mbaya mkazo wa Magu.ye anategemea mshahara wa mume kulipia ada na kila kitu.bajeti ya nyumbani imeshuka..mgeni anankunywa chai na mkate mzima..
Kama tumenunua vitumbua anatusua Tisa au kumi..
Ugali sasa mchana...bado maji ya muoga anaagiza awekewe huku yupo sebleni
Mwingine unataka makange kila siku..hataki ugali..kusahau kwamba katoka kijijni ndizi zipo shamba .huku mjini hela tu
Unataka soda kila siku..ilhali mwenyeji wenyewe hawanywi kila siku.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi huyu wa kwangu Kila akitoka anarudi na marafiki zake ata 4 hv anakuja hata akutambulishi wanapakua ulichopika wanakula wanaondoka
 
Huyu mtoa mada nae anaonekana kamzoesha mwenyewe chumba cha mumewe anaingiaje mtu mwengine bila taarifa,kuhusu swala la pesa anajuje inamaana akiachiwa pesa na mumewe ana mkabidhi huyo binti.
Ajabu sana, maana km ni hela inakaa chumbani tena kwenye mkoba na inatoka kwa mahesabu. Sasa inakuwaje mtu anajipikia tu anavyotaka?
Ht huku mikoani hatuna huo utaratibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo ni nyumbani kwako si kwake ni lazima akuheshimu. Unakosaje amani kwako? Ongea naye kwa kituo na umueleze yote usiyoyapenda hutaki yaendelee kutokea hawezi afungashe virago haraka sana. Hawezi kufanya anayoyafanya nyumbani kwako. GANGAMARA!!
Kosa ni lake, kawaida mgeni anapofika kwako kabla ya yote lazima dos and don't.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo bidada lipo ndani ya uwezo wako kabisa. Hapo humuogopi huyo dogo ila unahofia bwana ako atafikiria nini juu ya hilo.

Kaa na mume wako, mueleze then mpe na conclusion kabisa kuwa kama hali ikijirudia utamfukuza then umsikie atakujibu nini.

Baada ya hapo, weka rules na matendo yafuate. Otherwise atakuwa Mkwe mwenzio soon
Thank me later
 
Back
Top Bottom