Nimsamehe au?

Dada, una bahati...wanaume wa hivyo ni wachache sana..!! Pia, nikupongeze kwa kuwa mvumilivu hadi ndoa...i really admire you guyz.
 
Forgiveness is a Promise not a Feeling. When you forgive other people, you are making a promise not to use their past sin against them. It takes a strong person to say Sorry, and an even Stronger person to Forgive. Forgiveness does not change the past, but it does enlarge the future. If you truly love your partner then you should find it in your heart to forgive him and let go of his past mistake, look at the bigger picture here and don't let your anger cloud your judgement.
 

Attachments

  • Forgiveness.jpg
    10.6 KB · Views: 262
Msamehe! Sababu amekuambia ukwel, anayejutia kosa hawezi kurudia kosa!
 
Sijawahi kumuona mwanaume zoba kama huyo.

Kwanza anakupima tuone kama utasemaje, siku nyingine anakuletea mtoto.

Pili wewe ndo unatakiwa kumuomba msamaha kwa kumsababishia yote hayo
 

wewe ni bikra!!!!???... kama jibu ni HAPANA... acha drama ..solve issue na bingwa huyo na ujue mwanaume hawezi kaa miaka2 bila kugegeda labda awe jela..
 
kama wewe umemfanya mwanaume wa show wenzio wanamtumia kivitendo endelea kuificha iyo papuchi kweye tissue pepa mwenzio ndo ivyo tyr kachana hadi nailoni.ata mimi siwezi vumilia miaka yote kisa eti makubaliano labda wewe ndo ulishinikiza ikabidi akubali ingwaje moyo ilikuwa unamsuta.Funguka chukua hatua mpe iyo mbunya akiikuta fiti atarudi nja kuu shauri yako
 
wee usimsamehee ....imekula kwake. u a virgin u dserve a virgin man so value irself nd do away with the fornicator
 
hatari kweli kweli...!!!!!
 
Yawezekana ni trick ya kukuumiza roho maana unabana sana tena mshukuru mungu umepata kijana mstaarabu.usibane sanaaa wajanja watamzibua masikio soon so jipange
 
Msamehe ili nafsi yake ipate amani, kweli kuna watu wanajua kuvumilia miaka miwili bila game kiukweli binafsi sintoweza.
 
Asa papuchi haumpi unataka akajichue!!!!....mwache agegede banaaaa.......
 
Unafanya Koxa Mpendwa Wnzk 2nawajua Hd Wake Wenze2 2navyotambishwa Xaxa?Km Huna Moyo Unapgana Mama Wanaume Hawa Wanzinzi Wangekuwa Na Dunia Yao Watuache Na Wastaarabu!
 
Msamehe dada.kuvunja uhusiano si solution,and kama ana mpango wa kukuoa shikamana utulie
 
Msamehe haraka sana kabla hajaota mbawa!!Suala la kuto-do linatakiwa yawe makubaliano ya dhati toka moyoni mwa kila mmoja na wote muwe na hofu ya Mungu!Kila aone umuhimu,faida na hasara za kuto-do ili maamuzi anayoyafanya hasiyajutie!

Mara nyingi nyie wadada mnachukulia hiyo kama mtego kuona kama jamaa anapenda kweli,na kinachotokea mwanaume anaamua kuwa anatembea nje!Sasa wewe unamwambia mwenzio msifanye mpaka ndoa kwani wewe bikra???

Unakuta mdada anakwambia msifanye mpaka ndoa,siku ya ndoa unakuta bonge la shimo kama mapango ya Handeni,ndoa inaanza misukosuko!

Acheni kuitumia hiyo kitu ya kutofanya kama silaha ya kulazimisha ndoa!Na wengine unakuta kwenye ndoa anambania mumewe,anampa kwa dozi tena kama ile chanjo ya ugonjwa wa surua(mara moja baada ya miezi 3),mwanaume akitoka nje ya ndoa utamlaumu nani?
 
Msamehe na akuoe mapema kama bado mnapenda kwa dhati ile kweli kweli.



Ila jamaa ameshaonja papuchi usije shangaa akapiga ingine.

Chakufanya fungeni ndoa tu.
 
wewe ni bikra!!!!???... kama jibu ni HAPANA... acha drama ..solve issue na bingwa huyo na ujue mwanaume hawezi kaa miaka2 bila kugegeda labda awe jela..

Hata akiwa jela atapiga pulii tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…