Ninani anajua cinema ya matrix ntakuibukia hapo ulipo kwenye PC yako Preta!!ohooo matani sitaki moyo wangu unataka kuufanyeje ukizima wewe utapata faida gani!!unababaika na hayo maembe??mimi dafu kumbuka!!

hahahaha, nimekuelewa sasa. Kwa kweli Preta hata mimi namkubali.
Amini usiamini wanaume wanavutwa zaidi na michango, sio avatar...
Mbona Husninyo hana Avatar na bado anakubalika? AshaDii kafunika uso ila anakubalika pia? Bht ana avatar ya kiume ila nayeye yupo? avatar bila kichwa is nothing.
Hivo hata hii ya Mwali haitosumbuliwa ila kwa michango atakayo toa.

Mimi tofauti kidogo. mwambieni nitakua free kesho saa 4 na nusu hadi saa 5 kwa kumpokea... aje na acreditation letters toka kwa JF founders, laa sivyo atageuzia getini. lol
Mi ndo nakontrol hii maneno..
Pigeni saundi saaaana, lakini mwisho najua mtanitafuta miye ili niwafikishe anapoishi au kuwapa namba zake muanze KUMDIPUDIPU!
Kwa hiyo ukipanga bajeti ya full-tank kwake ujue lazima uongeze half tank kwa mshenga!