Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,242
- 90,420
Hapo jomba umepatia!Nimpende nani...Nimpende nani
wazuri JF ni wengi ila kupata wa ukweli ni balaa
wengi nia wajanja watoto wa mjini wamejaaa Tamaa
asiwe kama FF kila kitu kupinga,awe kama Preta..ili nipate raha
sio Mwali naogopa kila mtu atamkubali....
JF chit Chat....
Hapo jomba umepatia!
Katika wooote wanaomsaundi huyu binti, wewe ndo wamfaa!
Kwa taarifa yako, yuko vacant, na anahitajika mtu aliyetuliza akili, na sharti lake ni PENZI tu....hataki fedha!
Hapo jomba umepatia!
Katika wooote wanaomsaundi huyu binti, wewe ndo wamfaa!
Kwa taarifa anahitajika mtu aliyetuliza akili, na sharti lake ni PENZI tu....hataki mia ya mtu!
We nae broda umezidi ugumu sasa!Mi nahitaji mia yake as hata hiyo mia ya kumpa sina..
Nipigie Chapuo basi Jombaa
We nae broda umezidi ugumu sasa!
Ingekuwa ni mimi namchukulia mkopo Bank Of Baroda, au nauza shamba la Urithi!
We nae broda umezidi ugumu sasa!
Ingekuwa ni mimi namchukulia mkopo Bank Of Baroda, au nauza shamba la Urithi!
Siyo ugumu kaka, ni hali halisi.
Ili upate kitu inabidi uwe na kitu, huo mkopo nitaupataje wakati sina dhamana?
Manake kila kukicha napigwa vibuti kwa sababu ya kutokuwa na hiyo mia,
Wengi wanataka wenye mia, sasa kama yeye haitaji huoni kwamba ananifaa zaidi?
Cha muhimu naahidi Upendo wangu kwake mpaka kifo kitutenganishe, lol
Piga chini hii habari ya kuninanga hapa kafanye mambo kabla Mtu Chake hajaniwahi Bana..!
Shughuli pevu iko.
Broda,Siyo ugumu kaka, ni hali halisi.
Ili upate kitu inabidi uwe na kitu, huo mkopo nitaupataje wakati sina dhamana?
Manake kila kukicha napigwa vibuti kwa sababu ya kutokuwa na hiyo mia,
Wengi wanataka wenye mia, sasa kama yeye haitaji huoni kwamba ananifaa zaidi?
Cha muhimu naahidi Upendo wangu kwake mpaka kifo kitutenganishe, lol
Piga chini hii habari ya kuninanga hapa kafanye mambo kabla Mtu Chake hajaniwahi Bana..!
!Broda,
Unataka kusema hata shamba la Urithi umekosa?
Ushikwapo shikamana mazee!...Vinginevyo naona kasi ya MTU CHAKE ni Supersonic!
Angalia kwa umakini hii mambo broda
Broda mi ni kweli ningependa apate ishu.Mkuu unajaribu kujitia huruma ili mtotot Preta akuonee huruma eeh....haya bana..ila mie mmachinga mjanja..na nang'oa hiyo ngoma man aalone..maana naona unataka kuunganisha nguvu na PJ
Mkuu,!
hahahahahaha...MTU CHAKE anachukua CHAKE...ila tuache utani PJ..Preta kasimama ujue..
Broda mi ni kweli ningependa apate ishu.
Shida yake analia mno!
Hata masikini kule kijijini kwake wanamiliki KUku bana, na ukiuza kuku 10 wa kienyeji tayari una KILO!
Sasa kaENI na Preta na hiyo Kilo pale SISI KWA SISI pub, uone kama hataelewa somo lako!
Ugumu hausaidii!
Mkuu unajaribu kujitia huruma ili mtotot Preta akuonee huruma eeh....haya bana..ila mie mmachinga mjanja..na nang'oa hiyo ngoma man aalone..maana naona unataka kuunganisha nguvu na PJ
Broda,
Unataka kusema hata shamba la Urithi umekosa?
Ushikwapo shikamana mazee!...Vinginevyo naona kasi ya MTU CHAKE ni Supersonic!
Angalia kwa umakini hii mambo broda!
Mkuu kama una kisu si utafute mwingine Bana, mi namtaka Preta ili anitatulie umasikini wangu, kuwa na huruma basi Arifu?