Nimle, au nimpotezee binamu yangu?

Nimle, au nimpotezee binamu yangu?

LEO ASUBUHI KAILETA HAJAENDA IBADANI,, NIMEICHAPA....... case closed
 
Habari wana jamiiForums...

Imekuwa miezi mingi toka nijisikie hali ya tamaa juu ya binamu yangu,, ananiita kaka yeye ni mdogo kiumri ila tayari ana mtoto na hajaolewa, naishi nae jirani na kwangu ndiko amepanga.

Sasa juzi nimejikuta namtongoza nae kakubali ila jana nimefikiria nikaona kama nimefanya kosa..

Nae sasa ndio kawaka moto kila muda anatuma sms za mahaba juu yangu.. Je, ni mle au nimpotezee iwe tu kama niliteleza?

Ushauri tafadhali ni mtoto wa kaka ya shangazi yaani mke wa mjomba
Kwanza Mke wa mjomba unayemuita shangazi yako si ndugu yako. Halafu huyo ni mtoto wa kaka yake ndo kabisa hana hata kaundugu ka mbali.
Kwanini natafuta undugu kwa bidii sana? Kula hiyo nyama.
 
Hizi ID feki zinaficha mambo mengi sana.
Unakuta mtu kama huyu mleta mada ni mtu na heshima zake kabisa kwenye jamii.utaweza kuta ni majaliwa,Dr Mpango au Wasira,lkn huku jf anauliza ujinga kama huu.
kweli umeamua ,, mie wakunifannanisha na wan ccm?
 
Wengi tulijifunzia kwa binamu zetu. Ni watamu na hawana mipaka.
 
Habari wana jamiiForums...

Imekuwa miezi mingi toka nijisikie hali ya tamaa juu ya binamu yangu,, ananiita kaka yeye ni mdogo kiumri ila tayari ana mtoto na hajaolewa, naishi nae jirani na kwangu ndiko amepanga.

Sasa juzi nimejikuta namtongoza nae kakubali ila jana nimefikiria nikaona kama nimefanya kosa..

Nae sasa ndio kawaka moto kila muda anatuma sms za mahaba juu yangu.. Je, ni mle au nimpotezee iwe tu kama niliteleza?

Ushauri tafadhali ni mtoto wa kaka ya shangazi yaani mke wa mjomba
Binamu unakula vzur kabsa.
 
Minyege ikishapanda kichwani huwa inakutuma mambo ya ajabu mno, ni bora bangi.
 
Mkuu, Hapo lazima mtamalizana tu, maana minyege imeshawapanda kichwani.

Minyege inasababishaga mama na mtoto wanatafunana, kaka na dada, baba na bintiye sembuse nyinyi mabinamu?

Moja ya matukio yenye matokeo ya haraka na yasiyo na maadili ni minyege iliyopitiliza ikapanda kichwani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom