Nimle, au nimpotezee binamu yangu?

Nimle, au nimpotezee binamu yangu?

Nilichogundua kwenye hii Dunia watu wote watakuja na kupotea humu jamii forum lakini Evelyn salt tutakuwa nae milele, ninachoamini siku utakayoona salt haonekani humu kwa wiki kadhaa ujue hayupo tena duniani.
Much respect to THE LEGEND EVELYN SALT
No reform no erection
 
Nilichogundua kwenye hii Dunia watu wote watakuja na kupotea humu jamii forum lakini Evelyn salt tutakuwa nae milele, ninachoamini siku utakayoona salt haonekani humu kwa wiki kadhaa ujue hayupo tena duniani.
Much respect to THE LEGEND EVELYN SALT
Heeee 😁
Nastaafu jf kuanzia leo, nitabaki tu mshauri kama jk.

🤝 thanks bro.
 
Kaka ya shangazi yako anakuwaje mjomba wako tena?🤔

Kaka wa shangazi yako ni aidha baba mkubwa au baba mdogo wako,wewe amekuwaje mjomba tena?

Ndugu zangu, mkiona tunakemea malezi ya upande m'moja madhara yake ndio haya sasa.

Watoto wanaozaliwa na kulelewa upande m'moja tu yaani upande wa mama huwa hawanaga mipaka na hawajui vibaya.

Huyu sasa ni dhahiri kuwa amelelewa upande wa mama yake tu na hayupo karibu na upande wa baba yake kiasi kwamba anaona ndugu za upande wa baba yake ni halali yake kuingiliana nao kimwili.

Huu ndio upuuzi wa malezi ya kiholela ambapo watoto wanakuzwa na ukoo nusu na hawajui nusu nyingine ilipo na mbaya zaidi wakikutana wanakuwa hawa taarifa kamili za misingi ya uzao wao na asili yao.

Haya sasa yataendelea sana kutokea especially nyakati hizi ambazo wanawake wanajizalia tu kama bata na wanaume kisha wanatelekezana mwanaume mtwara mwanamke kigoma na hawajuani koo.

MUNGU atutetee
 
ASANTENI KWA USHAURI WENU KWA KWELI NILITAKA KUFANYA KOSA KUBWA AISEE SIJUI NI NIN KILINIJIA TU
Umalaya tu hakuna lingine watoto wa zinaa huwa ni haramu na ndio maana hauna mipaka. Wewe usikute una mahusiano hata na wanyama hapo mitaa unapoishi.

Si ajabu umeshafanya mapenzi na sabuni,kidumu cha mafuta ya kupikia,sofa.

Ndio sofa unaweza kufanya nalo mapenzi ukiweka pembejeo yako hapo katikati ya mito miwili haushindwi kumaliza haja zako mjaalaana mkubwa wewe.

Toka hapa.
 
Ndiyo maana familia za waarabu wengi unakuta magonjwa ya kurithi au unakuta vipofu au wenye mtindio wa ubongo kwenye ukoo wapo wengi, n.k.
Sababu ya hiyo inbreeding
kwa sisi waarabu huyu tunamla na kuoa kabisa...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom