Nimle, au nimpotezee binamu yangu?

Nimle, au nimpotezee binamu yangu?

sio mtoto wa mjomba.. ni mtoto wa kaka wa shangazi yangu
Mtoto wa kaka wa shangazi? Mbona sielewi huo udugu. Yani Wewe Una mshua wako, mshua ana dada yake si Ndio? Ambae ndo shangazi yako Sasa. Enhe huyo binti ni nani. Au shangazi ana step brother tena
 
Ni
Huyo ni binamu wa heshima na siyo binamu wa damu.

Ungezini kwanza ndiyo ujute, sasa unajuta kabla ya kutenda!

Wote huwa tunawaza hayo maovu, lakini huishia kuguna tu na kutema mate ya uchu kisha kusonga mbele na kupotezea.

Kuna ndugu wangine wapo njema sana, sasa utaweza kila unapo wamezea mate uje humu kutuangukia ushauri?

Wengine ni mabazazi ushauri wao siyo, watakupotosha.
Nimependa Kiswahili chako. ‘Kutuangukia ushauri’
 
Pumbavu zako, binamu ni ndugu yako wa damu maana ni mtoto wa shangazo yako. You are blood related, near blood related!
Huyu sio ndugu wa damu. Lakini simshauri kuanza hiyo zinaa yake. Kama anataka amuoe.
 
Wote mmekutana malaya...na acha tamaa

NB: UMALAYA HAUNA MWISHO MZURI ,BINAMU YAKO BADO ANAWEZA KUA NDUGU YAKO CHUKULIA MTOTO WAKO AJE AKAZWE NA BINAMU YAKE HUKO MBELE ITAKUAJE.
 
Habari wana jamiiForums...

Imekuwa miezi mingi toka nijisikie hali ya tamaa juu ya binamu yangu,, ananiita kaka yeye ni mdogo kiumri ila tayari ana mtoto na hajaolewa, naishi nae jirani na kwangu ndiko amepanga.

Sasa juzi nimejikuta namtongoza nae kakubali ila jana nimefikiria nikaona kama nimefanya kosa..

Nae sasa ndio kawaka moto kila muda anatuma sms za mahaba juu yangu.. Je, ni mle au nimpotezee iwe tu kama niliteleza?

Ushauri tafadhali ni mtoto wa kaka ya shangazi yaani mke wa mjomba
Mpotezee japo nyama ya hamu
 
Ngono na njaa ndo vitu huwa vinashusha heshima ya MTU

Umetumia gharama kubwa kujijenga Ila unaangukia katika ngono na single mother mtoto wa mjomba wako.

Jaribu kulinda brand don't give a fucky
 
Ngono na njaa ndo vitu huwa vinashusha heshima ya MTU

Umetumia gharama kubwa kujijenga Ila unaangukia katika ngono na single mother mtoto wa mjomba wako.

Jaribu kulinda brand don't give a fucky
si mtoto wa mjomba ni mtoto waa kaka ya shangazi
 
Hata mi sielewi huo udugu wao. Mbona kama ni wa kumulika na tochi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom