Nimle, au nimpotezee binamu yangu?

Nimle, au nimpotezee binamu yangu?

Hakuna cha kudharauliwa na ndugu wala bibi yake mitano tena. Tafuna hiyo mbususu zingine ni baraka
 
Habari wana jamiiForums...

Imekuwa miez mingi toka nijisikie hali ya tamaa juu ya binamu yangu,, ananiita kaka yeye ni mdogo kiumri ila tayari ana mtoto na hajaolewa ,, naish nae jiran na kwangu ndiko amepanga.

Sasa juzi nimejikuta namtongoza nae kakubali ila jana nimefikiria nikaona kama nimefanya kosa..

Nae sasa ndio kawaka moto kila muda anatuma sms za mahaba juu yangu.. Je, ni mle au nimpotezee iwe tu kama niliteleza?

Ushauri tafadhali ni mtoto wa kaka ya shangazi yaan mke wa mjomba
ULAANIWE
 
Huyo ni binamu wa heshima na siyo binamu wa damu.

Ungezini kwanza ndiyo ujute, sasa unajuta kabla ya kutenda!

Wote huwa tunawaza hayo maovu, lakini huishia kuguna tu na kutema mate ya uchu kisha kusonga mbele na kupotezea.

Kuna ndugu wangine wapo njema sana, sasa utaweza kila unapo wamezea mate uje humu kutuangukia ushauri?

Wengine ni mabazazi ushauri wao siyo, watakupotosha.
 
Huyo ni binamu wa heshima na siyo binamu wa damu.

Ungezini kwanza ndiyo ujute, sasa unajuta kabla ya kutenda!

Wote huwa tunawaza hayo maovu, lakini huishia kuguna tu na kutema mate ya uchu kisha kusonga mbele la kupotezea.

Kuna ndugu wangine wapo njema sana, sasa utaweza kila unapo wamezea mate uje humu kutuangukia ushauri?

Wengine ni mabazazi ushauri wao siyo, watakupotosha.
nimependa ushauri wako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom