Nimfanye nini mke wangu aache tabia hii?

Hivyo anavyokuboa ndio utamu wenyewe.mwanamke kwenye sidiria na pichu ndio anasababisha imagination za hatari.Afu inasababisha usimzoee na kumchoka
 
screpa ila na wewe umezidi kila siku unataka kuonganisha vikojoleo akiwa bwawa unaanza kumlaumu..... siku moja moja kwa umakini mkubwa piga game za mchangani

Nataka nichonge kitanda kingine, maana nikilala na shemeji yako kilasiku mashine inaamka
 
Last edited by a moderator:
we mpekenyue tyuu...kwani hakuna namna nyingine, kwani
yawezekana ndo stimu zake zilipo lalia.

N:B.
Lakini kama yuko danger days "yuko uvinza" basi una mkaushia.

nikimpekenyua anaweza nilamba kofi maana ni mkali hataki ujinga
 
Ama kweli we mjasiliamali...sasa hapo kuna siri gani
iliyowekwa hapo..? mkuu au wewe ni mgeni na mambo ya
migegedo..?

hehehe analeta ujasiriamali hadi MMU
 
mkuu hiyo ni theory ipi inayosema kuwa ukila sana mzigo siku za kuishi
zina ongezeka..? maana nimeona inaweza saidia hiki kizazi chetu...

kuna mzee mmoja wa kitaa alinipa huo mchapo, na najua wazee huwa hawadanganyi
 
Ficha vyupi vyote, unampa moja moja akitaka kutoka akiwa nyumbani marufuku kuvaa ....
Sijui watu wanapendea nini vyupi sivipendi

nimekupenda bure Evelyn Salt wewe ndo ulifaa sasa kuwa mkewangu
 
Last edited by a moderator:

sawa baba ushauri
 
Imegeuka kuwa wimbo sijui ni dharau au nini, maranyingi huwa namueleza kuchukizwa kwangu na tabia ya kulala amevaa pichu ila haelewi. Nimfanye nini aache hii tabia ya kipumbavu?

Acha utoto na wwe! akivaa we unamvua kila cku hvyohvyo atachoka na ataacha mwenyewe!
 

hana tatizo la blid zisizo na mpangilio so hakuna excuse
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…