Nimfanye nini mke wangu aache tabia hii?

Nimfanye nini mke wangu aache tabia hii?

Yaani mi isingekuwa ujeuri wake ningekuwa nakula mzigo kilasiku ya Mungu kasoro siku za period, nasikia ukifanya kilasiku afya inaimarika na siku za kuishi zinaongezeka. Na vipi tukiwa na ugomvi ndo siruhusiwi kula mzigo?

mkuu hiyo ni theory ipi inayosema kuwa ukila sana mzigo siku za kuishi
zina ongezeka..? maana nimeona inaweza saidia hiki kizazi chetu...
 
Ficha vyupi vyote, unampa moja moja akitaka kutoka akiwa nyumbani marufuku kuvaa ....
Sijui watu wanapendea nini vyupi sivipendi
 
Ficha vyupi vyote, unampa moja moja akitaka kutoka akiwa nyumbani marufuku kuvaa ....
Sijui watu wanapendea nini vyupi sivipendi

duuu.....njia mbadala kabisa.
kudos kwako mkuu.

attachment.php
 
zifiche chupi zake zoote...maana hamna namna..mgirik njoo msaidie mwenzio hukuu
 
ukapimwe akili wewe! si mzima, mambo ya ndani unayaleta huku?

embu peleka ujasiliamali wako sokoni kariakoo asipoleta hapa JF apeleke wapi??? hapa ndipo 2napomshauri au unataka miti imshauri???@mjasiriamal
 
Imegeuka kuwa wimbo sijui ni dharau au nini, maranyingi huwa namueleza kuchukizwa kwangu na tabia ya kulala amevaa pichu ila haelewi. Nimfanye nini aache hii tabia ya kipumbavu?

Huwa wanasema dunia ya sasa imebadilika mno, kwa maana ya kuwa walimwengu wamebadilika sana, mambo kama haya kwa wanaume/wanawake kwenye ndoa ni mambo ya ndani na kwa namna moja ama nyingine si busara ku expose vitu kama hivi kwenye public hata kama hufahamiki, lets be serious wazee, kuna mambo ya ku discuss humu na mengine mnayamaliza wenyewe ndani, hiyo ndiyo inakuweka uwe mwanaume/mwanamke uliyeiva kuwa mume ama mke wa mtu, sio mara ooh.. mke wangu anajamba sana .. mara nimenuniwa .. Hell no...
 
Ahahahahahahah uwii iii dunia ina mambo kua uyaone duh! Sasa wengne ni jadi asipovaa anahs ad watu wa nje ya nyumb wamemwona uch wake istoshe wengne bleedng haztabilik kuna siku utataka uchomeke line kwa simu ili upge utakuta tatzo jngne la batter low.
hapana, napata shida nikitaka kuchomeka line kwenye simu
 
Back
Top Bottom