Nimfanye nini mke wangu aache tabia hii?

Nimfanye nini mke wangu aache tabia hii?

Waweza kunioa bi Mdogo nikahakikisha naitokomeza hiyo kero

Dah tatizo dini hairuhusu, ngoja nifanye mpango wa kupiga chini huyu then ureplace nafasi yake,nimetokea kukupenda ghafla:glasses-nerdy:
 
Wakuu watu tunatofautiana, mimi huwa na enjoy zaidi akilala na nnapo ichojoa pichu mzuka hunipanda mara mbili, nakua nafeel kama vile navumbua dhahabu kwenye hazina
kweli tunatofautiana
 
hapana, napata shida nikitaka kuchomeka line kwenye simu

unataka kuchomeka line kabla ya kufungua simu?? Kwa hyo we unamkula tu mwenzio bila hata kumuivisha?? Huu nao ukatili mwingine
 
pole bro. ila nadhani kuna cri nyuma ya pazia. coz madem zangu nao walikuwa na hiyo tabia. chakufanya we mnunulie pichu za kamba a.k.a bkn, ili uwe unasogeza 2 kamba la geti kisha gari linaingia na kutoka stand.
 
Mimi hata tendo nakula akiwa ame valia kyupi, ndio na enjoy kuona jinsi kilivyo mbana na zile rangi rangi kwenye kyupi baasi kufwaaaz kabisa kijana wenu.
 
Hahahaaaa mie hulala na trak suit, ndani kuna skin tite na chupi pia, sasa ingekuwa mimi ndio mkeo si ndio ungeandika talaka kabisa kama huyo wa chupi tu kakuudhi hadi unaomba ushauri!!
 
Inategemea ulimpateje?
Kuonga hela sn au kumbembeleza sn kukupa dudu mara ya kwanza.
Au ulitongoza kwa miaka zaidi ya mi3 ndio ukakubaliwa.
Hapo sasa ana tabia ya kujiskia, ila hawa una tongoza J5 afu Jpili una lamba mzigo hawasumbui kabisaa usiku. Kama amegeukia ukutani- unagusa tu anageuka na Pichu anatoa , unachomeka laini vzr tu.

Kwasababu umeisha muoa, usimkumbushe tena-zichane daily siku ya mechi. Ukichana kama 20 lazima akaseme kwa wasusi wa nywele na watampa shule aiche huru ipumue.
Feedback ni mhimu sn
 
unataka kuchomeka line kabla ya kufungua simu?? Kwa hyo we unamkula tu mwenzio bila hata kumuivisha?? Huu nao ukatili mwingine

ikiwa inamgusagusa si vimyukasi vinajitengeneza vyenyewe
 
Asante kwa ushauri wako wa kujenga, inaonekana we gwiji wa haya mambo bladha Enzymes
 
Last edited by a moderator:
Sio fea kabisa hivyo atoto
 
Last edited by a moderator:
Mkomoe n ww kwa kulala uchi kabisa..
Atatia adabu tuu
 
Sio fea kabisa hivyo atoto

Hahahaaaaa!! Mtaka cha uvunguni sharti ainame bwana, kuna uromantic fulani hivi amaizing ukivuliwa jamani, me i love it, tena zinavuliwa kwa step mpaka akiifikia ya mwisho aisee naidaka mwenyewe.
 
Last edited by a moderator:
Imegeuka kuwa wimbo sijui ni dharau au nini, maranyingi huwa namueleza kuchukizwa kwangu na tabia ya kulala amevaa pichu ila haelewi. Nimfanye nini aache hii tabia ya kipumbavu?

Hahaha! Jina lako tuu ni screpa sasa unategemea nini kama mke wako atalala uchi? Si atakuwa anawaza poor screpa inaweza kumuingilia mda wowote? Wewe unalalamika hivyo sasa wake wanaolala na skin jeans kila siku?
 
Imegeuka kuwa wimbo sijui ni dharau au nini, maranyingi huwa namueleza kuchukizwa kwangu na tabia ya kulala amevaa pichu ila haelewi. Nimfanye nini aache hii tabia ya kipumbavu?

Ikifika usiku Ficha chupi zake zote
 
Back
Top Bottom