Nimfanye nini mke wangu aache tabia hii?

Nimfanye nini mke wangu aache tabia hii?

Imegeuka kuwa wimbo sijui ni dharau au nini, maranyingi huwa namueleza kuchukizwa kwangu na tabia ya kulala amevaa pichu ila haelewi. Nimfanye nini aache hii tabia ya kipumbavu?

Mtafutie kozi Jeshini maana uko kila jinsia inalala na pachu ee pichu..
 
Mi nilivyokuwa naingia kwenye ndoa nilifurahi sana nikajua kula mzigo kilasiku ni uhakika, niliyoyakuta ni tofauti kabisa najuta kuoa haraka

Hahahaaaa mie hulala na trak suit, ndani kuna skin tite na chupi pia, sasa ingekuwa mimi ndio mkeo si ndio ungeandika talaka kabisa kama huyo wa chupi tu kakuudhi hadi unaomba ushauri!!

Nataka nichonge kitanda kingine, maana nikilala na shemeji yako kilasiku mashine inaamka

Hahaa hii combination siipatii picha giza linapoingia

BTW Sista atoto hope u remember my classification of men in bed
 
Last edited by a moderator:
ccm inawapa kiburi sana wanawake. Usijali mkuu mwisho wake ni trh 25,muhesabie siku tu.
 
Sasa kwanini anipe kazi yote hiyo, this is not fair kabisa

Kuvuana nguo ni sehemu ya 'foreplay' au ninyi hamnaga hiyo kitu. Unamrukia tu na kuchomeka kama unapanda mbegu ya mihogo kwenye tuta?
 
Hahahaaaa mie hulala na trak suit, ndani kuna skin tite na chupi pia, sasa ingekuwa mimi ndio mkeo si ndio ungeandika talaka kabisa kama huyo wa chupi tu kakuudhi hadi unaomba ushauri!!

enheee,
post zako nlikuwaga nahisi nazifananisha. leo ndio nimeprove.
 
Wakuu watu tunatofautiana, mimi huwa na enjoy zaidi akilala na nnapo ichojoa pichu mzuka hunipanda mara mbili, nakua nafeel kama vile navumbua dhahabu kwenye hazina

Kwa hiyo wewe kila siku unahis kuvumbua dhahabu ipo siku utakutana na jiwe
 
Hahaa hii combination siipatii picha giza linapoingia

BTW Sista atoto hope u remember my classification of men in bed

Huyo hatuwezan kabisa
 
Last edited by a moderator:
mvue tu tena kwa mahaba ikibidi kwa kutumia meno, au mlainishe ataivua mwenyewe tu na kuitafuta dyudyu ilipo.
 
Mianaume ya Bongo bwana hovyooo...hii inaashiria wewe haupo romantiki na unamuingia mwenzio bila kumuandaa ..nnauhakika mkeo hafurahii tendo na siku akichepuka kwa mtu ajuaye ataomba talaka
 
Back
Top Bottom