Nimfanye nini mke wangu aache tabia hii?

Nimfanye nini mke wangu aache tabia hii?

Right. And I don't think it would kill anyone, to ignore what they don't understand.

I say stuffs I say the way I say, cuz those who understand, are the people I really want to talk to, on that particular topic.

Hahahah Yeaaah man i know your a J.cole fan

The kinds of fans which ussually walks with God but the devil keeps following
 
Wewe baba ni mbakaji!!! Narudia tena wewe ni mbakaji. Mwenzio keshajua hilo ndio maana anakufantyia makusudi haswaa. Jifunze kumchezea kwanza na baadaye mvue wewe uone utakavyoenjoy game siku hiyo. Ttz la binadamu tukishazoeana tunafanya vitu kwa mazoea hii kitu SEX haina mazoea aisee yahitaji ufundi tofauti kila mara. Jifunze kumvua wewe
 
Yaani mi isingekuwa ujeuri wake ningekuwa nakula mzigo kilasiku ya Mungu kasoro siku za period, nasikia ukifanya kilasiku afya inaimarika na siku za kuishi zinaongezeka. Na vipi tukiwa na ugomvi ndo siruhusiwi kula mzigo?

una matatizo ya afya ndugu screpa, ama ww ni screpa kweli
 
Last edited by a moderator:
Wewe baba ni mbakaji!!! Narudia tena wewe ni mbakaji. Mwenzio keshajua hilo ndio maana anakufantyia makusudi haswaa. Jifunze kumchezea kwanza na baadaye mvue wewe uone utakavyoenjoy game siku hiyo. Ttz la binadamu tukishazoeana tunafanya vitu kwa mazoea hii kitu SEX haina mazoea aisee yahitaji ufundi tofauti kila mara. Jifunze kumvua wewe
 
Hebu ni p.m namba zake nimpe neno la bwana juu ya tabia yake inayokuchukiza!
 
muibie hizo pichu zake zoooote. . . unakuwa unampa moja moja kila asubuhi jion unaiiba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom