Nimfanye nini mke wangu aache tabia hii?

Nimfanye nini mke wangu aache tabia hii?

Mi nilivyokuwa naingia kwenye ndoa nilifurahi sana nikajua kula mzigo kilasiku ni uhakika, niliyoyakuta ni tofauti kabisa najuta kuoa haraka

screpa ha ha ha ha ha ulifikiri ni kila siku kama sikosie kuna siku uliambiwa "UTINIZEESHA MAPEMA"
 
Last edited by a moderator:
screpa ha ha ha ha ha ulifikiri ni kila siku kama sikosie kuna siku uliambiwa "UTINIZEESHA MAPEMA"

yaan kunasiku alinitolea uvivu, aliniambia maneno mazito na hayo pia yalikuwemo
 
Last edited by a moderator:
Imegeuka kuwa wimbo sijui ni dharau au nini, maranyingi huwa namueleza kuchukizwa kwangu na tabia ya kulala amevaa pichu ila haelewi. Nimfanye nini aache hii tabia ya kipumbavu?

we mpekenyue tyuu...kwani hakuna namna nyingine, kwani
yawezekana ndo stimu zake zilipo lalia.

N:B.
Lakini kama yuko danger days "yuko uvinza" basi una mkaushia.
 
yaan kunasiku alinitolea uvivu, yaani aliniambia maneno mazito na hayo pia yalikuwemo

screpa ila na wewe umezidi kila siku unataka kuonganisha vikojoleo akiwa bwawa unaanza kumlaumu..... siku moja moja kwa umakini mkubwa piga game za mchangani
 
Mkuu..nenda kwa kungwi wake kamweleza juu ya huo utata atakupa somo..!

Hayo ndo mambo ya kumpelekea mtu mzigo ajilie kiulaini
kumbe kuwa kungwi kuna marupu rupu kama hayo..?
 
Back
Top Bottom