Nimfanye nini huyu Mdada wa kazi?

Nimfanye nini huyu Mdada wa kazi?

Unamawazo ya busara sana sijui we ni ndugu yangu??

Mtu ukishafikia umri wa kuoa, ina maana tayari wewe ni mtu mzima na una uwezo wa kuongoza familia na kutoa maamuzi yenye busara bila kuomba ushauri ambao wakati mwingine wenye nia mbaya wanaweza kukpotosha. Hebu jiulize kama aliyekuona angekuwa mtoto wako au mdogo wako, ungekuja kuomba ushauri ? Kumbuka kuwa huyo Binti yupo hapo kwa muda mfupi na ataondoka kwao, sasa iweje uwaze kumdhalilisha mkeo, huna ubavu wa kumwambia huyo Binti kuacha hiyo mitego yake mara moja ? Ala, unaitwa Baba, halafu ubaba wako haunekani !!!
 
Kiustaarabu kwa aliyefunzwa chumba chenu ni nyie tuu, mkeo ndio anatakiwa asafishe na kila kitu...sasa chumba anaingia msichana wa kazi...Ndio mambo kama hayo sasa..

Ndugu mleta uzi kama uliyoyasema haya na sanaa ya utungaji naomba nichangie kama ifuatavyo:
1. Kwanza wewe na mkeo mnafanya kile ambacho ni chanzo kizuri cha uzinzi na wasaidizi wa kazi majumbani. Iweje ufungue mlango wazi kiasi cha kuruhusu chumba chako "Matrimonial Bedroom" kiwe sawa na Store ambayo beki tatu anaingia anavyotaka! Mkiibiwa vitu vya thamani mtamlaumu nani?

2. Kwanini Mkeo asiwe na wajibu wa kumtolea beki 3 nguo za mtoto za kutosha kwa siku nzima kabla ya kuondoka kwenda kwenye majukumu ya kila siku? Kama Mungu amewajalia kujenga nyumba yenu ni vizuri kwa mtoto mchanga kama huyo mliye naye mkatenga kabati maalumu ambalo litawekwa nguo safi na salama za mtoto ili beki 3 awe akilitumia wakati mama hayupo nyumbani.

Vinginevyo kwa mwenendo huo jiandaeni kupata makubwa zaidi ya hayo.
 
Mi nilitaka kulipiza kisasi naye angalau nimmege ili nimuone naye akiwa mtupu kama mie ila nafikiria sana kuwa kitawaka manake itakuwa mazoea nikishalianzisha, na kitu kizuri ni kwamba tulishakaa nae pale miaka minne sasa

How dumb.
 
Nina mdada wa kazi kuna siku kwa bahati mbaya alinikuta uchi chumbani.

Story yenyewe ilikuwa ivi: Nilitoka kuoga kumbe yeye alikuwa chumbani anachukua nguo za kuvaa watoto shule, sasa mie sikumuona vizuri nikajua tu ni wife kumbe ni yeye, basi kwa kujiachia nilikuwa nimeweka taulo mabegani na uku chini nikiwa mtupu manake yeye alikuwa upande wa pili wa kioo, sina ili na lile kumbe yeye na alishajua mie niko pale na kusema alishindwa kabisa kuwa nijifunike ili yeye apite, badala yake akaamua kupita ivyo ivyo na kuanza kusema samahani mara kaniamkia uku akipita nyuma yangu mikiwa sina ata chupi.

Mi kuona vile na sikuwa na la kufanya nikaamua kumuangalia tu na sikusema chochote.

Basi tangia siku ile kitu nilichokiona ni kama anataka kulipa fadhila za kuuona uchi wangu manake mara anakaa mapaja wazi , mara anajifanya amelala uku sehemu ya mwili wote wa mapaja ikiwa wazi uku akiwacha sehemu ya mlango wa chumbani kwake wazi ili nami nimuone na anafanya ivyo wakati wife hayupo nyumbani.

Sasa wadau mitihani imekuwa mingi akijikosha kwa alilolifanya na kwa kweli sijamwambia wife kuhusu lile tukio lote, ni mimi na yeye tu tunaojua.

Naombeni ushauri wadau nimfanye nini uyu dada wa kazi manake sasa vituko vimezidi nyumbani manake ni kama mtu anataka kuweka mambo sawa kwa kuwa ameniona nikiwa mtupu nae anataka mi nimuone vile vile.

Usimuhukumu vibaya yawezekana hana nia kama hiyo hata yeye hajui nia yako ya kukaa uchi wa wakati umebeba taulo.
 
Maisha yenyewe aya kaka tunayoishi unashangaa nguo za watoto kuwa chumbani kwa baba na mama, unakaa masaki nini kaka? Kama kweli ni mtanzania halisi na unajua maaisha ya kitanzania utaelewa namaanisha nn

Ungesoma quote nzima

jamaa alishangaa kwanini housegirl kaingia chumbani, na point yangu ni kwamba hata nguo za watoto zinakaa chumbani

kwahiyo anything was possible... Nimesikitika kidogo kwa baba mwenyenyumba unayeelewa kwamba vitu vya watoto viko chumbani halafu unakaa kihasarahasara tu bila kujijali...

Ila siungi mkono wazo la kula housegirl hata iweje
 
mmmmmmhhh huo sasa ni utata...mkewe kuonwa na house boi
 
mleta mada U'R PRETENDER
 
Attachments

  • 1417699681451.jpg
    1417699681451.jpg
    20 KB · Views: 135
Ongea na mkeo kwamba unataka kuoa mke wa pili,akikubali chumbia kisha oa,but inategemea na imani yako ya dini,kama wewe upo kwenye imani ile ya "mpaka kifo kiwatenganishe"basi mrudishe kwao!!!
 
Ebu msikilizeni uyu jamaa
 
Last edited by a moderator:
Nina mdada wa kazi kuna siku kwa bahati mbaya alinikuta uchi chumbani.

Story yenyewe ilikuwa ivi: Nilitoka kuoga kumbe yeye alikuwa chumbani anachukua nguo za kuvaa watoto shule, sasa mie sikumuona vizuri nikajua tu ni wife kumbe ni yeye, basi kwa kujiachia nilikuwa nimeweka taulo mabegani na uku chini nikiwa mtupu manake yeye alikuwa upande wa pili wa kioo, sina ili na lile kumbe yeye na alishajua mie niko pale na kusema alishindwa kabisa kuwa nijifunike ili yeye apite, badala yake akaamua kupita ivyo ivyo na kuanza kusema samahani mara kaniamkia uku akipita nyuma yangu mikiwa sina ata chupi.

Mi kuona vile na sikuwa na la kufanya nikaamua kumuangalia tu na sikusema chochote.

Basi tangia siku ile kitu nilichokiona ni kama anataka kulipa fadhila za kuuona uchi wangu manake mara anakaa mapaja wazi , mara anajifanya amelala uku sehemu ya mwili wote wa mapaja ikiwa wazi uku akiwacha sehemu ya mlango wa chumbani kwake wazi ili nami nimuone na anafanya ivyo wakati wife hayupo nyumbani.

Sasa wadau mitihani imekuwa mingi akijikosha kwa alilolifanya na kwa kweli sijamwambia wife kuhusu lile tukio lote, ni mimi na yeye tu tunaojua.

Naombeni ushauri wadau nimfanye nini uyu dada wa kazi manake sasa vituko vimezidi nyumbani manake ni kama mtu anataka kuweka mambo sawa kwa kuwa ameniona nikiwa mtupu nae anataka mi nimuone vile vile.
Toa uongo wako hapa. Kwanza housegirl hawezi ingia chumbani kwako kama anajua umeenda kuoga na muda wowote unaweza rejea ukiwa kifua wazi au empty kabisa. Kwa hiyo peleka huu uongo wako huko facebook.
 
Mimi nina miaka takriban 15 kwenye ndoa sijawahi kuona mtani wa jadi akiruhusu house girl kuingia chumbani kwetu kwa shughuli yoyote ile na watoto wanajua kuwa huwezi ingia chumbani kwa baba bila kupiga hodi hasa nikiwa chumbani. Sasa wewe sijui umeweka utaratibu gani hapo kwako?
 
Msemee kwa mke wako

Nina mdada wa kazi kuna siku kwa bahati mbaya alinikuta uchi chumbani.

Story yenyewe ilikuwa ivi: Nilitoka kuoga kumbe yeye alikuwa chumbani anachukua nguo za kuvaa watoto shule, sasa mie sikumuona vizuri nikajua tu ni wife kumbe ni yeye, basi kwa kujiachia nilikuwa nimeweka taulo mabegani na uku chini nikiwa mtupu manake yeye alikuwa upande wa pili wa kioo, sina ili na lile kumbe yeye na alishajua mie niko pale na kusema alishindwa kabisa kuwa nijifunike ili yeye apite, badala yake akaamua kupita ivyo ivyo na kuanza kusema samahani mara kaniamkia uku akipita nyuma yangu mikiwa sina ata chupi.

Mi kuona vile na sikuwa na la kufanya nikaamua kumuangalia tu na sikusema chochote.

Basi tangia siku ile kitu nilichokiona ni kama anataka kulipa fadhila za kuuona uchi wangu manake mara anakaa mapaja wazi , mara anajifanya amelala uku sehemu ya mwili wote wa mapaja ikiwa wazi uku akiwacha sehemu ya mlango wa chumbani kwake wazi ili nami nimuone na anafanya ivyo wakati wife hayupo nyumbani.

Sasa wadau mitihani imekuwa mingi akijikosha kwa alilolifanya na kwa kweli sijamwambia wife kuhusu lile tukio lote, ni mimi na yeye tu tunaojua.

Naombeni ushauri wadau nimfanye nini uyu dada wa kazi manake sasa vituko vimezidi nyumbani manake ni kama mtu anataka kuweka mambo sawa kwa kuwa ameniona nikiwa mtupu nae anataka mi nimuone vile vile.
 
duh. Haingi akilini kabisa. ila na nyie nguo za watoto si zikae kwa dada kama ye ndo anawaandaa watoto. inaelekea mmemzoesha huyo dada kuingiaingia kwenu hata bila hodi.
 
Back
Top Bottom