Nimfanye nini huyu Mdada wa kazi?

Nimfanye nini huyu Mdada wa kazi?

Mtu ukishafikia umri wa kuoa, ina maana tayari wewe ni mtu mzima na una uwezo wa kuongoza familia na kutoa maamuzi yenye busara bila kuomba ushauri ambao wakati mwingine wenye nia mbaya wanaweza kukpotosha. Hebu jiulize kama aliyekuona angekuwa mtoto wako au mdogo wako, ungekuja kuomba ushauri ? Kumbuka kuwa huyo Binti yupo hapo kwa muda mfupi na ataondoka kwao, sasa iweje uwaze kumdhalilisha mkeo, huna ubavu wa kumwambia huyo Binti kuacha hiyo mitego yake mara moja ? Ala, unaitwa Baba, halafu ubaba wako haunekani !!!
 
Dah, Msichana wa kazi anaingia chumba chenu, Nimeshangaa sijui wenzetu mnaishije?
 
Mambo mengine huwa nashindwa hata kuwaza.Inakuaje msichana anaingia chumba chako tena wakati huo na mwanaume upo ndani.Ndio hao hao hadi mashuka wanafuliwa na wasichana wao na kwanini nguo za watoto zisikae chumba chao?
 
Naona kama unatafuta go ahead hapa jf, we nenda kampande mimi nimekuruhusu ila ujiandae kuharibu ndoa yako.
 
Ndugu mleta uzi kama uliyoyasema haya na sanaa ya utungaji naomba nichangie kama ifuatavyo:
1. Kwanza wewe na mkeo mnafanya kile ambacho ni chanzo kizuri cha uzinzi na wasaidizi wa kazi majumbani. Iweje ufungue mlango wazi kiasi cha kuruhusu chumba chako "Matrimonial Bedroom" kiwe sawa na Store ambayo beki tatu anaingia anavyotaka! Mkiibiwa vitu vya thamani mtamlaumu nani?

2. Kwanini Mkeo asiwe na wajibu wa kumtolea beki 3 nguo za mtoto za kutosha kwa siku nzima kabla ya kuondoka kwenda kwenye majukumu ya kila siku? Kama Mungu amewajalia kujenga nyumba yenu ni vizuri kwa mtoto mchanga kama huyo mliye naye mkatenga kabati maalumu ambalo litawekwa nguo safi na salama za mtoto ili beki 3 awe akilitumia wakati mama hayupo nyumbani.

Vinginevyo kwa mwenendo huo jiandaeni kupata makubwa zaidi ya hayo.
 
Mtu ukishafikia umri wa kuoa, ina maana tayari wewe ni mtu mzima na una uwezo wa kuongoza familia na kutoa maamuzi yenye busara bila kuomba ushauri ambao wakati mwingine wenye nia mbaya wanaweza kukpotosha. Hebu jiulize kama aliyekuona angekuwa mtoto wako au mdogo wako, ungekuja kuomba ushauri ? Kumbuka kuwa huyo Binti yupo hapo kwa muda mfupi na ataondoka kwao, sasa iweje uwaze kumdhalilisha mkeo, huna ubavu wa kumwambia huyo Binti kuacha hiyo mitego yake mara moja ? Ala, unaitwa Baba, halafu ubaba wako haunekani !!!
Umemaliza mkuu...
 
Issue kama hizi watu huwa wanazimaliza kimyakimya na haraka sana. Ukiona mtu anakuja huku ujue anataka confirmation ya kile anachotaka kufanya - ubazazi.

Achana na mawazo yako ya kutaka kumtafuna huyo binti. Kwanza mwambie ile ilikuwa bahati mbaya, haitatokea tena na arekebishe tabia yake haraka sana otherwise utamtimua hapo. Najua akiri yako inajua kabisaa kwamba huu ndo uamuzi wa busara, ila kwa kuwa umeshaona mapaja yake, the ''little devil in you'' anataka kukupeleka shimoni
 
mhh yaani huyu anataka tumshauri alale nae. fanya hivyo kaka kama ulivyoamua
 
heb tupia picha yake akiwa upaja wazi huku mlango kaacha wazi nimsaminishe
 
Weka mbali na watoto hiyooo...Mpe za uso tena ukiwa macho umeyakaza ukimlegezea macho tuu umekwisha. vitimbi vitaendelea.......
Mwaya usitembee na dada wa kazi ataanza madharau/kiburi home kwa mkeo.
Mfanyakazi ni kama mwanao au dadayo...Tembea nje ya nyumba sio ndani ya nyumba ni uchafu uliopitiliza

Nina mdada wa kazi kuna siku kwa bahati mbaya alinikuta uchi chumbani.

Story yenyewe ilikuwa ivi: Nilitoka kuoga kumbe yeye alikuwa chumbani anachukua nguo za kuvaa watoto shule, sasa mie sikumuona vizuri nikajua tu ni wife kumbe ni yeye, basi kwa kujiachia nilikuwa nimeweka taulo mabegani na uku chini nikiwa mtupu manake yeye alikuwa upande wa pili wa kioo, sina ili na lile kumbe yeye na alishajua mie niko pale na kusema alishindwa kabisa kuwa nijifunike ili yeye apite, badala yake akaamua kupita ivyo ivyo na kuanza kusema samahani mara kaniamkia uku akipita nyuma yangu mikiwa sina ata chupi.

Mi kuona vile na sikuwa na la kufanya nikaamua kumuangalia tu na sikusema chochote.

Basi tangia siku ile kitu nilichokiona ni kama anataka kulipa fadhila za kuuona uchi wangu manake mara anakaa mapaja wazi , mara anajifanya amelala uku sehemu ya mwili wote wa mapaja ikiwa wazi uku akiwacha sehemu ya mlango wa chumbani kwake wazi ili nami nimuone na anafanya ivyo wakati wife hayupo nyumbani.

Sasa wadau mitihani imekuwa mingi akijikosha kwa alilolifanya na kwa kweli sijamwambia wife kuhusu lile tukio lote, ni mimi na yeye tu tunaojua.

Naombeni ushauri wadau nimfanye nini uyu dada wa kazi manake sasa vituko vimezidi nyumbani manake ni kama mtu anataka kuweka mambo sawa kwa kuwa ameniona nikiwa mtupu nae anataka mi nimuone vile vile.
 
kwa hasira kamchungulie wife vyote vinafanana tofauti ni kama kuna aliyekeketwa miongoni mwao
 
Mi nilitaka kulipiza kisasi naye angalau nimmege ili nimuone naye akiwa mtupu kama mie ila nafikiria sana kuwa kitawaka manake itakuwa mazoea nikishalianzisha, na kitu kizuri ni kwamba tulishakaa nae pale miaka minne sasa

Tunachoweza kukushauri usisahau mpira, coz lengu la kumla unalo
 
Mkuu, hata nguo za watoto ziko chumbani kwa baba, kwahiyo huwezi jua hata housegirl anaogea wapi

ya watu tuyaache tu

Maisha yenyewe aya kaka tunayoishi unashangaa nguo za watoto kuwa chumbani kwa baba na mama, unakaa masaki nini kaka? Kama kweli ni mtanzania halisi na unajua maaisha ya kitanzania utaelewa namaanisha nn
 
Dah nilijua umemuona kwenye camera anampiga mtoto!

Hili sasa amua mwenyewe. Ila kabla ya kufanya maamuzi mfikirie mkeo naye kama angeonwa utupu na house boy angefanyaje?
 
Mambo mengine huwa nashindwa hata kuwaza.Inakuaje msichana anaingia chumba chako tena wakati huo na mwanaume upo ndani.Ndio hao hao hadi mashuka wanafuliwa na wasichana wao na kwanini nguo za watoto zisikae chumba chao?

Nafikiri haukuielewa ii story vizuri. mdada wa kazi hakunikuta chumbani, mi ndo nilimkuta chumbani, mi nilienda kuoga yeye ndo kuona vile akawai kutoa nguo za watoto, sasa wakati mie narudi mi nikajua wife kwasababu yeye alikuwa nyuma ya kabati, apo ndo picha ikaendelea nami kujiachia kumbe hakuwa wife.

Na familia nyingi kaka watu wanaweka nguo za watoto wao chumbani mwao, ilo sidhani kama ni geni kwako labda uwe si mtanzania
 
Nina mdada wa kazi kuna siku kwa bahati mbaya alinikuta uchi chumbani.

Story yenyewe ilikuwa ivi: Nilitoka kuoga kumbe yeye alikuwa chumbani anachukua nguo za kuvaa watoto shule, sasa mie sikumuona vizuri nikajua tu ni wife kumbe ni yeye, basi kwa kujiachia nilikuwa nimeweka taulo mabegani na uku chini nikiwa mtupu manake yeye alikuwa upande wa pili wa kioo, sina ili na lile kumbe yeye na alishajua mie niko pale na kusema alishindwa kabisa kuwa nijifunike ili yeye apite, badala yake akaamua kupita ivyo ivyo na kuanza kusema samahani mara kaniamkia uku akipita nyuma yangu mikiwa sina ata chupi.

Mi kuona vile na sikuwa na la kufanya nikaamua kumuangalia tu na sikusema chochote.

Basi tangia siku ile kitu nilichokiona ni kama anataka kulipa fadhila za kuuona uchi wangu manake mara anakaa mapaja wazi , mara anajifanya amelala uku sehemu ya mwili wote wa mapaja ikiwa wazi uku akiwacha sehemu ya mlango wa chumbani kwake wazi ili nami nimuone na anafanya ivyo wakati wife hayupo nyumbani.

Sasa wadau mitihani imekuwa mingi akijikosha kwa alilolifanya na kwa kweli sijamwambia wife kuhusu lile tukio lote, ni mimi na yeye tu tunaojua.

Naombeni ushauri wadau nimfanye nini uyu dada wa kazi manake sasa vituko vimezidi nyumbani manake ni kama mtu anataka kuweka mambo sawa kwa kuwa ameniona nikiwa mtupu nae anataka mi nimuone vile vile.

Soma tena story yako humo nilikopita halafu anza upya kwa herufi kubwa kuhadithia story yako.
Inaonekana kama uliamua mwenyewe kujishebedua. Kwani hujui kama chumbani kwenu nani anaingiaga?
Au we mgeni humo chumbani kwako?
Hii story yako haijakaa sawa sawa
 
Umeongea... Kwani nguo za watoto haziwezi kuwa pengine hadi chumbani kwenu mnacholala!!i...Amepewa uhuru sana....Ndio hivyo ukimchekea nyani ................
Pili leo imekuwa dada kakuona uchi kesho itakuwa mtoto kaja kuchukua nguo...Hamisheni hizo nguo za watoto chumbani kwenu na nyie...Labda zinazostahili kukaa kwenu ni zile za Outing tuu ila za kuchezea/kushindia zikae chumba kingine..

ikiwa huna nia mbaya na huyo dada mpeleke kwao maana itafikia hatua uvumilivu utakushinda na kumkaribisha ibilisi kati yenu..........ila hapo kwa ubinadamu huyo dada kakosa heshima sana na imeonesha ni jinsi gani mnampa uhuru ulopetuka mipaka. housegairl aingie ndani akukute naked then umuangalie tu bila kufanya tukio la kusitir maungio ahahahahaha hailet maana.
 
Back
Top Bottom