Nimfanye nini huyu Mdada wa kazi?

Nimfanye nini huyu Mdada wa kazi?

kuna wanaume wanapata wanawake kwa shida sana na halikadhalika kwa wanawake pia huwa hivo hivo. jamaa kapata kirahis na house girl kapata kirahis waache wapeane bana.
 
Mfukuze kazi,kwanini anaingia chumbani bila kupiga hodi
huku akijua upo nyumbani? hilo moja
lkn pia kama pamoja na kujua upo chumbani na upo uchi
akakupita kawaida na kukuamkia,nadhani hii inaonyesha
si mara ya kwanza kukuona ukiwa uchi,labda kuna siku ulimpitia bila kujijua.
 
Chanzo cha hayo yote ni kuoga,usingekuwa umetoka kuoga asingeona tupu yako!Ushauri wangu Acha kuwa unaoga mara moja!
 
Mi nilitaka kulipiza kisasi naye angalau nimmege ili nimuone naye akiwa mtupu kama mie ila nafikiria sana kuwa kitawaka manake itakuwa mazoea nikishalianzisha, na kitu kizuri ni kwamba tulishakaa nae pale miaka minne sasa

kama ishu ni kulipiza kisasi basi mwambie na yeye avue umuone mchezo uishe...manake yeye alikuona tu hakukufanya kitu na wewe muone tu usimfanye kitu..ngoma iwe droo.
 
wacha nijitakase kwa kutotoa ushauri mahala hapa.
 
Mfukuze kazi,kwanini anaingia chumbani bila kupiga hodi
huku akijua upo nyumbani? hilo moja
lkn pia kama pamoja na kujua upo chumbani na upo uchi
akakupita kawaida na kukuamkia,nadhani hii inaonyesha
si mara ya kwanza kukuona ukiwa uchi,labda kuna siku ulimpitia bila kujijua.

Tatizo mi nilikuwa naoga na yeye alilijua ilo, wakati narudi ndo nikamkuta chumbani ila sikujua kuwa atakuwa ni yeye, ndo maana hata mie nilikuwa sina wasiwasi na kuanza kupandisha taulo na kuanza kujifuta futa na kupaka mafuta, alipoligundua ilo ndo akaamua kupita ivyo ivyo ila kiukweli yeye hakunikuta chumbani, mie ndo nilimkuta
 
Muombe mkeo akushauri

Ningeweza muomba ushauri siku ile ile ingekuwa poa ila tatizo mda ulikuwa umeshapita, sasa sikutegemea kama yule mdada wa kazi ataendelea na swaga zake, sasa kumuomba mke ushauri atauliza siku zote izo nilikuwa wapi na kwann sikumwambia
 
Muombe mkeo akushauri

Mke kwa kawaida hana cha kuremba, ukimpelekea manung'uniko asubuhi, utakuta mchana keshamtimua kazi binti wa watu, na ikitokea umeweka ngumu kwa kujifanya ndio kichwa na mwenye maamuzi ya mwisho.

mke anaanzisha utawala wa kiimla ndani mpaka binti wa watu atakimbia mwenyewe, tena Kimyakimya bila kukuaga.
 
Mkeo akiwa wapi mpa Maid aingie chumbani kwako?? Kwanini mkeo asitoe nguo ampe??
 
Muombe ushauri mkeo, inavyoelekea ama utakuwa mwongo umetunga story tu, au basis hauko serious haiwezekani mdada Wa kazi awe na mazoea kiasi hicho chumbani kwako na mkeo!
Nina mdada wa kazi kuna siku kwa bahati mbaya alinikuta uchi chumbani.
Story yenyewe ilikuwa ivi: Nilitoka kuoga kumbe yeye alikuwa chumbani anachukua nguo za kuvaa watoto shule, sasa mie sikumuona vizuri nikajua tu ni wife kumbe ni yeye, basi kwa kujiachia nilikuwa nimeweka taulo mabegani na uku chini nikiwa mtupu manake yeye alikuwa upande wa pili wa kioo, sina ili na lile kumbe yeye na alishajua mie niko pale na kusema alishindwa kabisa kuwa nijifunike ili yeye apite, badala yake akaamua kupita ivyo ivyo na kuanza kusema samahani mara kaniamkia uku akipita nyuma yangu mikiwa sina ata chupi. Mi kuona vile na sikuwa na la kufanya nikaamua kumuangalia tu na sikusema chochote.
Basi tangia siku ile kitu nilichokiona ni kama anataka kulipa fadhila za kuuona uchi wangu manake mara anakaa mapaja wazi , mara anajifanya amelala uku sehemu ya mwili wote wa mapaja ikiwa wazi uku akiwacha sehemu ya mlango wa chumbani kwake wazi ili nami nimuone na anafanya ivyo wakati wife hayupo nyumbani.

Sasa wadau mitihani imekuwa mingi akijikosha kwa alilolifanya na kwa kweli sijamwambia wife kuhusu lile tukio lote, ni mimi na yeye tu tunaojua.

Naombeni ushauri wadau nimfanye nini uyu dada wa kazi manake sasa vituko vimezidi nyumbani manake ni kama mtu anataka kuweka mambo sawa kwa kuwa ameniona nikiwa mtupu nae anataka mi nimuone vile vile.
 
Inawezekana we ni mwongo umetunga tu story, au basi hauko serious na ndoa yako, huwezi kusema ati unataka ulipize kisasi, hata hivyo how comes mnamruhusu mdada wa kazi awe na mazoea kiasi hicho chumbani, chumba no kwa ajili ya wewe na mkeo, by the way muombe ushauri mkeo yeye atakuwa na udhauri bora zaidi kwako si ni ubavu wako?!
 
Nahisi hauko serious na ndoa yako, pia umezoea kuchepuka, ningekuwa Mimi cku hiyo hiyo Hugo house girl angeenda kwao. Hata hi yo kwa principles zangu house girl hawezi kuingia kwenye chum a changu na mke wangu(japo bado sina mke) Kwa heshima ya ndoa kama ni kweli yamekukuta hayo badilika, chumbani housegurl asiingie tena na pia huyo kwasasa aende kwao, hafai tena huyo ni kirusi kama siyo threat kwenye ndoa yako!
 
Mfukuze kazi,kwanini anaingia chumbani bila kupiga hodi
huku akijua upo nyumbani? hilo moja
lkn pia kama pamoja na kujua upo chumbani na upo uchi
akakupita kawaida na kukuamkia,nadhani hii inaonyesha
si mara ya kwanza kukuona ukiwa uchi,labda kuna siku ulimpitia bila kujijua.
Mkuu, hata nguo za watoto ziko chumbani kwa baba, kwahiyo huwezi jua hata housegirl anaogea wapi

ya watu tuyaache tu
 
hivi mnamruhusu vipi dada wa kazi kuingia chumbani kwenu....?....haya ndiyo madhara....dada wa kazi hapaswi hata kujua chumba chenu kikoje.......

kama vipi mtafuteni dada mwingine wa kazi.....na muache tabia ya kuwaingiza wadada wa kazi chumbani kwenu......
 
Tatizo mi nilikuwa naoga na yeye alilijua ilo, wakati narudi ndo nikamkuta chumbani ila sikujua kuwa atakuwa ni yeye, ndo maana hata mie nilikuwa sina wasiwasi na kuanza kupandisha taulo na kuanza kujifuta futa na kupaka mafuta, alipoligundua ilo ndo akaamua kupita ivyo ivyo ila kiukweli yeye hakunikuta chumbani, mie ndo nilimkuta

ATAWEZAJE KUINGIA CHUMBANI KWAKO BILA RUHUSA? ALIKUWA ANATAFUTA NINI KWENYE CHUMBA CHA BOSS WAKE?
Wewe kuja hapa kuomba ushauri yaonyesha wazi kuwa unataka kuzini na huyo hg na unatafuta watu wa kukuunga mkono! As baba wa familia na kichwa cha nyumba umekosa maamuzi mpaka sasa?
Shetani yupo mlangoni kwako mkuu na anakuotea!
 
Back
Top Bottom