Nimfanye nini huyu Mdada wa kazi?

Nimfanye nini huyu Mdada wa kazi?

Unalo hilo, kosa ulilofanya ni kumruhusu awe na tabia ya kuingia chumbani kwenu. Hapo kilichopo mgegede then mtimue
 
Kutokana na maelezo yako, inaonyesha wazi tukio hilo lilikuwa la bahati mbaya tu. Sioni haja yoyote ya wewe kuhamanika na vituko vyake. Unatakiwa kuonyesha kuwa huna mpango wowote na yeye pamoja na yaliyotokea-hapo heshima itarejea palepale. Labda kama na wewe una lako jambo mzee!
 
mkuu Abatmwe kama mtoto analipa we kula "tunda la katikati", hakuna tatizo lolote...inaonekana anataka.
 
Last edited by a moderator:
Inakuwaje hausegeli anaingia kwenye chumba cha baba na mama? Kama ni nguo za watoto si mnaweka chumbani anakolala yeye na watoto!!!!
Mambo ya kujitakia hayo, mrudishe kwao binti wa watu
 
fanya lililo jema mbele yake na uwe mwaminifu mpaka kufa kwani mtihani mdogo huu utakushinda usimhuzunishe mkeo kwani nilazima atajua tu ndoa kwanza
 
Kabla ujawa uch mbele ya houc girl hujauliza umeidha kaa uchi ndio unataka u
 
Nina mdada wa kazi kuna siku kwa bahati mbaya alinikuta uchi chumbani.

Story yenyewe ilikuwa ivi: Nilitoka kuoga kumbe yeye alikuwa chumbani anachukua nguo za kuvaa watoto shule, sasa mie sikumuona vizuri nikajua tu ni wife kumbe ni yeye, basi kwa kujiachia nilikuwa nimeweka taulo mabegani na uku chini nikiwa mtupu manake yeye alikuwa upande wa pili wa kioo, sina ili na lile kumbe yeye na alishajua mie niko pale na kusema alishindwa kabisa kuwa nijifunike ili yeye apite, badala yake akaamua kupita ivyo ivyo na kuanza kusema samahani mara kaniamkia uku akipita nyuma yangu mikiwa sina ata chupi.

Mi kuona vile na sikuwa na la kufanya nikaamua kumuangalia tu na sikusema chochote.

Basi tangia siku ile kitu nilichokiona ni kama anataka kulipa fadhila za kuuona uchi wangu manake mara anakaa mapaja wazi , mara anajifanya amelala uku sehemu ya mwili wote wa mapaja ikiwa wazi uku akiwacha sehemu ya mlango wa chumbani kwake wazi ili nami nimuone na anafanya ivyo wakati wife hayupo nyumbani.

Sasa wadau mitihani imekuwa mingi akijikosha kwa alilolifanya na kwa kweli sijamwambia wife kuhusu lile tukio lote, ni mimi na yeye tu tunaojua.

Naombeni ushauri wadau nimfanye nini uyu dada wa kazi manake sasa vituko vimezidi nyumbani manake ni kama mtu anataka kuweka mambo sawa kwa kuwa ameniona nikiwa mtupu nae anataka mi nimuone vile vile.
watu wengine ni mapichu...yani we hujui cha kufanya?
 
Unalo jibu tayari kwamba ilikuwa bahati mbaya. Sasa kama na wewe kiroho kinakuenda kwatu ndo hizo tempt zitakupeleka usikotaka. Mwambie aache kukujaribu vinginevyo unataka awe mchepuko.
 
Suppose tangu alipokuona ukiwa uchi angeanza kukuheshimu zaidi ungefanyeje.
 
Hahaha! Ni mtazamo wako tu, unakufanya uhisi kuwa anakuhitaji.
 
Nina mdada wa kazi kuna siku kwa bahati mbaya alinikuta uchi chumbani.

Story yenyewe ilikuwa ivi: Nilitoka kuoga kumbe yeye alikuwa chumbani anachukua nguo za kuvaa watoto shule, sasa mie sikumuona vizuri nikajua tu ni wife kumbe ni yeye, basi kwa kujiachia nilikuwa nimeweka taulo mabegani na uku chini nikiwa mtupu manake yeye alikuwa upande wa pili wa kioo, sina ili na lile kumbe yeye na alishajua mie niko pale na kusema alishindwa kabisa kuwa nijifunike ili yeye apite, badala yake akaamua kupita ivyo ivyo na kuanza kusema samahani mara kaniamkia uku akipita nyuma yangu mikiwa sina ata chupi.

Mi kuona vile na sikuwa na la kufanya nikaamua kumuangalia tu na sikusema chochote.

Basi tangia siku ile kitu nilichokiona ni kama anataka kulipa fadhila za kuuona uchi wangu manake mara anakaa mapaja wazi , mara anajifanya amelala uku sehemu ya mwili wote wa mapaja ikiwa wazi uku akiwacha sehemu ya mlango wa chumbani kwake wazi ili nami nimuone na anafanya ivyo wakati wife hayupo nyumbani.

Sasa wadau mitihani imekuwa mingi akijikosha kwa alilolifanya na kwa kweli sijamwambia wife kuhusu lile tukio lote, ni mimi na yeye tu tunaojua.

Naombeni ushauri wadau nimfanye nini uyu dada wa kazi manake sasa vituko vimezidi nyumbani manake ni kama mtu anataka kuweka mambo sawa kwa kuwa ameniona nikiwa mtupu nae anataka mi nimuone vile vile.

Unafikiria ntakuambia mtimue..
Mgegede ndio ushauri wangu then mtimue
Ila usije mtimua na bendi yako
 
Back
Top Bottom