Nimfanyaje mke wangu! Kwa tabia hii?

Nimfanyaje mke wangu! Kwa tabia hii?

Ukiwatafuna utapata faida mbili,
1. Watakupa uroda nawe roho yako itasuuzika.
2. Mkeo akijua hatowapikia tena na urafiki utakufa ha ha ha ha.

Watafune mkuu halafu utuletee mrejesho washauri wako.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Papuchi tatu za bure hizo wife anakuonganishia jionge kidume
 
Wakuu nina ndoa ya kama Mwaka mmoja hivi!
Wife tulioana kila mtu akiwa na maisha yake, I mean alikuwa anajitegemea na mimi najitegemea!

Tukaamua kuanzisha makazi mapya, tuachane na yale ya zamani, hii sehemu aliunganishiwa na marafiki zake wa karibu kwa sababu na wao wanaishi hapo, ni nyumba nzuri tulivyoamia mambo yalikuwa poa sana, bahati nzuri wote ni watumishi na tunakisehemu cha kufanya ujasiriamali.

Hao marafiki zake wawili ni watumishi pia, na mara nyingi mke wangu ndio huwa wakwanza kuwahi kurudi nyumbani kabla yao!
Ishu inakuja hapa, kwa takribani kama miezi 3 hivi naona wife ndio amegeuka kama mpishi wao! Kila akipika ni lazima wawe na share kwenye msosi wake, kwa wanawake wanaojitegemea kabisa! Na kila mtu ana nyumbani kwake.

Nilijiuliza wife huwa anapata msaada gani kwa hao wadada hadi awapikie kila siku nikakosa jibu.

Wao kupika ni week end tu! Na hawawezi kuleta msosi kwetu kama wife anavyowapelekea, she use her own money to buy all staffs bahati nzuri she never ask any money for food, due to some agreement, pesa yangu ikuze mtaji na kuendeleza ujenzi na yake ishughulike na mambo ya ndani yote ikiwemo mavazi na chakula Ishu inakuja hapo kwenye hizo affairs nyingine, natamani kumpiga stop! binafsi naona kama hili swala halijakaa vyema wakuu, Tushauriane!!
Seleleka nao jumla jumla wakianza kuoneana wivu tayari chain umeikata
 
Sasa umekuja kulalamika huku tukusaidiaje?! Wanaume wa sikuhiz mna matatizo sana na ndio maana ndoa zinakuwa ngumu, sababu wanaume hawasimami sehemu zao
 
Atakama anatumia hela zake haijakaa vizuri kama bado anawapenda rafiki zake asingeolewa awapikiage kwanza mashost, mwambie aache utoto huo achague rafiki au mme
 
Mwambie namhitaji. Nipe nikae nae nimfanyie marekebisho makubwa. Utapenda mwenyewe. Ila anaweza kukukataa akaamua kubaki na mimi.
 
Kuna mawili...
1. Kuna njemba inamkula mkeo na mashosti zake ndo wanatumika kuficha siri.
2. Mke wako anasagwa na mashosti zake.

Solution:

Tongoza hao mashosti ukifanikiwa wapige miti mpk mkeo ajue...

Ukishafanya hayo njoo uanzishe thread vijana wengine wapate somo
Haaa haaa babu, ila kuna watu wengine akili zao wanazijua wenyewe, halafu huyo mwenzenu aache kufuga ujinga wanawake wanabahati kupata wame dizaini hii jamani kabisa napika msosi napeleka nyumba ya kumi utazani nampelekea mama mkwe mmm
 
Shark Nimekumiss ujue hii imekaaje mwanaume kuoa lakini analishwa na kuvishwa na mkewe ilihali ni mzima wa afya na yuko poa tu haijalishi wanajenga au? mimi naona aanze yeye kubadilika alishe na kuvisha familia hapo hata ataweza kukataza katabia hako, kinachobaki aunganishe na kipato cha mkewe wajenge.
 
Hata mimi naona halipo sawa
ila apo ww pambana umalize huo ujenzi uhame apo mahali..
Wakuu nina ndoa ya kama Mwaka mmoja hivi!
Wife tulioana kila mtu akiwa na maisha yake, I mean alikuwa anajitegemea na mimi najitegemea!

Tukaamua kuanzisha makazi mapya, tuachane na yale ya zamani, hii sehemu aliunganishiwa na marafiki zake wa karibu kwa sababu na wao wanaishi hapo, ni nyumba nzuri tulivyoamia mambo yalikuwa poa sana, bahati nzuri wote ni watumishi na tunakisehemu cha kufanya ujasiriamali.

Hao marafiki zake wawili ni watumishi pia, na mara nyingi mke wangu ndio huwa wakwanza kuwahi kurudi nyumbani kabla yao!
Ishu inakuja hapa, kwa takribani kama miezi 3 hivi naona wife ndio amegeuka kama mpishi wao! Kila akipika ni lazima wawe na share kwenye msosi wake, kwa wanawake wanaojitegemea kabisa! Na kila mtu ana nyumbani kwake.

Nilijiuliza wife huwa anapata msaada gani kwa hao wadada hadi awapikie kila siku nikakosa jibu.

Wao kupika ni week end tu! Na hawawezi kuleta msosi kwetu kama wife anavyowapelekea, she use her own money to buy all staffs bahati nzuri she never ask any money for food, due to some agreement, pesa yangu ikuze mtaji na kuendeleza ujenzi na yake ishughulike na mambo ya ndani yote ikiwemo mavazi na chakula Ishu inakuja hapo kwenye hizo affairs nyingine, natamani kumpiga stop! binafsi naona kama hili swala halijakaa vyema wakuu, Tushauriane!!
 
Ndo hapo yaan mme anamuogopa mke hii kali kabisa na nyuzi nyingi wanaume huleta kisa mme kuwa muogaaa..
Hii hata akinyimwa ........ hana neno anaenda piga nyetooo
Wanawake wengine wanabahati kupata mme wa hivyo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jf haijawahi kuchosha
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jf haijawahi kuchosha
 
Ushauriane na nani humu? Acha mambo ya kiwaki, kwenda kashauriane na mkeo huko. Kitu cha kumwambia mkeo hiki Sitaki, unakuja kubwata huku! Hakika Wanaume tunazidi kupungua
 
Back
Top Bottom