APEFACE
JF-Expert Member
- Oct 1, 2016
- 6,049
- 11,895
Sio stop tu..ikibidi mkate hata mabanzi ili atie akili...au ameku-dominate ndo mana unagwayaIshu inakuja hapo kwenye hizo affairs nyingine, natamani kumpiga stop!
Sio stop tu..ikibidi mkate hata mabanzi ili atie akili...au ameku-dominate ndo mana unagwayaIshu inakuja hapo kwenye hizo affairs nyingine, natamani kumpiga stop!
Ulikuwa hujui hakuna wanaume.siku hizi. Wengi ni wako chini ya wake zao hawana saut zaidi ya kuja hapa wanajifanya wababe kumbe wakiwa na wake zao kimya hunyweaaa.Mkuu hili suala nalo ni la kuleta watu wakupe ushauri ni mkeo au ni mwanamke unaishi nae? Kweli wanaume wamepungua sana siku hizi,pole sana!
fanya maamuzi we si ndo kichwa cha familia,mwambie hupendi kitendo hichi na hichiNipe hiyo sauti mkuu
Isje kuwa ni wanaume zake hao maana siku hizi kuna usagaji jamani why awatetemekee hao kuna.nini... ???Huna nauli ya kwenda kwenye hiyo nyumba au? Au wanakaa mbinguni huyo mkeo aache kuishi kishamba shamba anawaonea haya hao wanawake msaidie kumuondolea hao parasites
Inauma sana kwa kweli kama tu suala la kumwambia mke wangu hili suala mi silipendi liache unashindwa yakija mambo makubwa utafanyeje kuyatatua?Ulikuwa hujui hakuna wanaume.siku hizi. Wengi ni wako chini ya wake zao hawana saut zaidi ya kuja hapa wanajifanya wababe kumbe wakiwa na wake zao kimya hunyweaaa.
Kuna mawili...Wakuu nina ndoa ya kama Mwaka mmoja hivi!
Wife tulioana kila mtu akiwa na maisha yake, I mean alikuwa anajitegemea na mimi najitegemea!
Tukaamua kuanzisha makazi mapya, tuachane na yale ya zamani, hii sehemu aliunganishiwa na marafiki zake wa karibu kwa sababu na wao wanaishi hapo, ni nyumba nzuri.
Tulivyoamia mambo yalikuwa poa sana, bahati nzuri wote ni watumishi na tunakisehemu cha kufanya ujasiriamali.
Hao marafiki zake wawili ni watumishi pia, na mara nyingi mke wangu ndio huwa wakwanza kuwahi kurudi nyumbani kabla yao!
Ishu inakuja hapa, kwa takribani kama miezi 3 hivi naona wife ndio amegeuka kama mpishi wao! Kila akipika ni lazima wawe na share kwenye msosi wake, kwa wanawake wanaojitegemea kabisa! Na kila mtu ana nyumbani kwake.
Nilijiuliza wife huwa anapata msaada gani kwa hao wadada hadi awapikie kila siku nikakosa jibu.
Wao kupika ni week end tu! Na hawawezi kuleta msosi kwetu kama wife anavyowapelekea, she use her own money to buy all staffs. Bahati nzuri she never ask any money for food, due to some agreement, pesa yangu ikuze mtaji na kuendeleza ujenzi na yake ishughulike na mambo ya ndani yote ikiwemo mavazi na chakula.
Ishu inakuja hapo kwenye hizo affairs nyingine, natamani kumpiga stop!
Binafsi naona kama hili swala halijakaa vyema wakuu, Tushauriane!!
Jitafunie mkuu, kama vipi nipasie mmoja tusaidiane teh tehNi kweli mkuu! Na ana wivu mkali kuliko maelezo.
Hao wadada ni marafiki zake wazuri lakini huwa harusu hata mmoja apande gari yangu, asipokuwepo!!
Anza kuwasifia mbele ya mkeo, tena wape sifa zote ambazo hata mkeo haujawahi kumsifia, hata mkiwa wawili chumbani na mkeo wewe wasifie tu hadi akwazike sana. kwa akili za wanawake ataanza kuwachukia na kuwaweka mbaliNi kweli mkuu! Na ana wivu mkali kuliko maelezo.
Hao wadada ni marafiki zake wazuri lakini huwa harusu hata mmoja apande gari yangu, asipokuwepo!!
Kwani Wamemtembelea akaacha kuwapa chakula?sasa hapo tatizo lipo wapi,! acha uchoyo ndugu
Dah yaa kama nilichocomment hapo chini huyo atakuwa anasagwa au hao.mashosti wanajua siri za mkewe ndo hutumia hiyo kitu kumtishia kafanywa kama taahira au msukule wao.Kuna mawili...
1. Kuna njemba inamkula mkeo na mashosti zake ndo wanatumika kuficha siri.
2. Mke wako anasagwa na mashosti zake.
Solution:
Tongoza hao mashosti ukifanikiwa wapige miti mpk mkeo ajue...
Ukishafanya hayo njoo uanzishe thread vijana wengine wapate somo
Kichwa cha habari kimetoa ushauri mzuri.Mkuu,,, solution ni kuhama hapo kwenda mbali nao hao, watakuharibia ndoa,,
Chukua ushauri huu.Piga mahesabu kuwa una wake watatu, chakufanya hapo ni kuwagegeda tu hamna namna nyingine.
Inauma sana kwa kweli kama tu suala la kumwambia mke wangu hili suala mi silipendi liache unashindwa yakija mambo makubwa utafanyeje kuyatatua?
Kukàimisha baadhi ya majukumu yanayotaka pesa kwa mke kunashusha hadhi ya mwanaume ndani ya nyumba na kumfanya ashindwe kuhoji baadhi ya mambo ambayo anaona hayaendi sawa..Mkuu kwani huna sauti kwa mke wako? Mpige stop... hakika sio tabia nzuri hiyo
Tena ule msosi wa chumbaniLabda wanachangia msosi
atakuwa ni mwanaume wa darMkuu hili suala nalo ni la kuleta watu wakupe ushauri ni mkeo au ni mwanamke unaishi nae? Kweli wanaume wamepungua sana siku hizi,pole sana!