Nimfanyaje mke wangu! Kwa tabia hii?

Nimfanyaje mke wangu! Kwa tabia hii?

Mkuu naona unawadekeza isee me kukaa na mizigo moyon ya nini? Nisije ungua maini bulee harafu sasa itakua wanamuona huyo mkeo mjinga ndio maana anawapikia
 
Mkuu anaetakiwa kuona tabu na kulalamika ambae ni mkeo,anaetoa hela ni yeye why ukereke? mkuu hivi vidogo vidogo ukianza kuviendekeza utachelewa kufanya ya msingi, sasa so long as anafanya kwa hiyari yake asikushughulishe wanasema hiyari inashinda utumwa, akichoka atawacha.
 
We hutoi pesa ya chakula hafu unataka kuhoji mambo ya jikoni angalia utakuja kukutana na majibu ambayo yatakuacha ukostressed. Nakushauri kitu serious katika makosa ambayo utakuja kujutia ni kuacha mkeo anunue chakula ili hali we upo, mwanaume hata kama unapesa kidogo suala la msosi ni la msingi sana uligharimie wewe, mkeo mhusishe zaidi achangie katika masuala ya maendeleo ya mambo yenu maana kama mkiwekeza au kujenga nyumba itakuwa akiba kwa watoto.

Wakuu nina ndoa ya kama Mwaka mmoja hivi!
Wife tulioana kila mtu akiwa na maisha yake, I mean alikuwa anajitegemea na mimi najitegemea!

Tukaamua kuanzisha makazi mapya, tuachane na yale ya zamani, hii sehemu aliunganishiwa na marafiki zake wa karibu kwa sababu na wao wanaishi hapo, ni nyumba nzuri tulivyoamia mambo yalikuwa poa sana, bahati nzuri wote ni watumishi na tunakisehemu cha kufanya ujasiriamali.

Hao marafiki zake wawili ni watumishi pia, na mara nyingi mke wangu ndio huwa wakwanza kuwahi kurudi nyumbani kabla yao!
Ishu inakuja hapa, kwa takribani kama miezi 3 hivi naona wife ndio amegeuka kama mpishi wao! Kila akipika ni lazima wawe na share kwenye msosi wake, kwa wanawake wanaojitegemea kabisa! Na kila mtu ana nyumbani kwake.

Nilijiuliza wife huwa anapata msaada gani kwa hao wadada hadi awapikie kila siku nikakosa jibu.

Wao kupika ni week end tu! Na hawawezi kuleta msosi kwetu kama wife anavyowapelekea, she use her own money to buy all staffs bahati nzuri she never ask any money for food, due to some agreement, pesa yangu ikuze mtaji na kuendeleza ujenzi na yake ishughulike na mambo ya ndani yote ikiwemo mavazi na chakula Ishu inakuja hapo kwenye hizo affairs nyingine, natamani kumpiga stop! binafsi naona kama hili swala halijakaa vyema wakuu, Tushauriane!!
 
Chances are Ana mtu mwingine ambae hupelekewa chakula kwa camouflage ya rafiki/boyfriend wa shost.kama una busara sanaaaaa chunguza polepole utajua ila kama huna busara kihivyo hakikisha “unawafyekeleaaa mbaliii” hao rafiki wa mkeo kitandani na mfanye a suspect.tatzo litajisolve
 
"Wife tulioana" damn it.

Mpaka hapo tatizo tayari.

Kiswahili wewe mwanamme unaoa, mwanamke anaolewa. Hamuoani.

Ukishaanza kwa habari za "tulioana" hayo matatizo mengine hata sishangai.
 
Mkuu nasikitika kusema umeshindwa kutumia vyema iyo nafasi,hapo unaweza gegeda wote kiurahisi sana
 
Wakuu nina ndoa ya kama Mwaka mmoja hivi!
Wife tulioana kila mtu akiwa na maisha yake, I mean alikuwa anajitegemea na mimi najitegemea!

Tukaamua kuanzisha makazi mapya, tuachane na yale ya zamani, hii sehemu aliunganishiwa na marafiki zake wa karibu kwa sababu na wao wanaishi hapo, ni nyumba nzuri tulivyoamia mambo yalikuwa poa sana, bahati nzuri wote ni watumishi na tunakisehemu cha kufanya ujasiriamali.

Hao marafiki zake wawili ni watumishi pia, na mara nyingi mke wangu ndio huwa wakwanza kuwahi kurudi nyumbani kabla yao!
Ishu inakuja hapa, kwa takribani kama miezi 3 hivi naona wife ndio amegeuka kama mpishi wao! Kila akipika ni lazima wawe na share kwenye msosi wake, kwa wanawake wanaojitegemea kabisa! Na kila mtu ana nyumbani kwake.

Nilijiuliza wife huwa anapata msaada gani kwa hao wadada hadi awapikie kila siku nikakosa jibu.

Wao kupika ni week end tu! Na hawawezi kuleta msosi kwetu kama wife anavyowapelekea, she use her own money to buy all staffs bahati nzuri she never ask any money for food, due to some agreement, pesa yangu ikuze mtaji na kuendeleza ujenzi na yake ishughulike na mambo ya ndani yote ikiwemo mavazi na chakula Ishu inakuja hapo kwenye hizo affairs nyingine, natamani kumpiga stop! binafsi naona kama hili swala halijakaa vyema wakuu, Tushauriane!!
Wewe kama Mume unatakiwa uikemee hiyo tabia na umpige Marufuku kwa sauti ambayo hatoipinga wala kuhoji.
Kama huwezi hilo basi ndoa yako ina walakin.
 
"Wife tulioana" damn it.

Mpaka hapo tatizo tayari.

Kiswahili wewe mwanamme unaoa, mwanamke anaolewa. Hamuoani.

Ukishaanza kwa habari za "tulioana" hayo matatizo mengine hata sishangai.
Ha ha ha,
Labda kweli "Walioana", means wote ni Mume na Mke to each other in one way or another.
 
Back
Top Bottom