kibambrasi
Member
- May 10, 2016
- 55
- 24
And he should beware that another man food is another man poison.... So hard to digest.I smell a man somewhere.....
And We sure love to cook for our men....
.....

Huu ushauri nmeupendaPiga mahesabu kuwa una wake watatu, chakufanya hapo ni kuwagegeda tu hamna namna nyingine.
Jamaa pia kaukubali, nimemsihi atuletee mrejesho.Huu ushauri nmeupenda
Wanaume wa dar huwa mnaset contractual terms na wake zenu za kuhudumia familia ?Wakuu nina ndoa ya kama Mwaka mmoja hivi!
Wife tulioana kila mtu akiwa na maisha yake, I mean alikuwa anajitegemea na mimi najitegemea!
Tukaamua kuanzisha makazi mapya, tuachane na yale ya zamani, hii sehemu aliunganishiwa na marafiki zake wa karibu kwa sababu na wao wanaishi hapo, ni nyumba nzuri tulivyoamia mambo yalikuwa poa sana, bahati nzuri wote ni watumishi na tunakisehemu cha kufanya ujasiriamali.
Hao marafiki zake wawili ni watumishi pia, na mara nyingi mke wangu ndio huwa wakwanza kuwahi kurudi nyumbani kabla yao!
Ishu inakuja hapa, kwa takribani kama miezi 3 hivi naona wife ndio amegeuka kama mpishi wao! Kila akipika ni lazima wawe na share kwenye msosi wake, kwa wanawake wanaojitegemea kabisa! Na kila mtu ana nyumbani kwake.
Nilijiuliza wife huwa anapata msaada gani kwa hao wadada hadi awapikie kila siku nikakosa jibu.
Wao kupika ni week end tu! Na hawawezi kuleta msosi kwetu kama wife anavyowapelekea, she use her own money to buy all staffs bahati nzuri she never ask any money for food, due to some agreement, pesa yangu ikuze mtaji na kuendeleza ujenzi na yake ishughulike na mambo ya ndani yote ikiwemo mavazi na chakula Ishu inakuja hapo kwenye hizo affairs nyingine, natamani kumpiga stop! binafsi naona kama hili swala halijakaa vyema wakuu, Tushauriane!!
Wakuu nina ndoa ya kama Mwaka mmoja hivi!

Mtanie mkeo kuwa una wake 3, ila usimuulize gharama za msosi pengine huwa wanampa. Huwezi jua makubaliano yao. We mwambie hivyo tu kuwa una wake 3......tena uwe unasisitiza mara kwa mara. Akienda unamwambie msalimie mke mdogo! Halafu wasifie sifie hao mashost zake kiutani utani. Akimaliza miezi 3 bado anawapikia lete mrejesho hapa

Hii ni fact...Mkuu,,, solution ni kuhama hapo kwenda mbali nao hao, watakuharibia ndoa,,
Yah...upo sahihi kabisa.Piga stop,wanawake ni watu wanaohitaji msaada wa mawazo ya wanaume sana hasa inapokuwa kwenye mahusiano,wewe ni mtawala chukua nafasi yako na usipokuwa makini kuna kitu kibaya kinakuja mbele yako,ikiwa ni pamoja na nyumba kutokutawalika kwani ni wepesi sana kubeba ushauri wa jinsi ya kuishi kwenye nyumba kutoka kwa marafiki,trust me...
this is baaaaaaaaaaaadMkuu kwani huna sauti kwa mke wako? Mpige stop... hakika sio tabia nzuri hiyo