Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,429
- 27,123
Piga mahesabu kuwa una wake watatu, chakufanya hapo ni kuwagegeda tu hamna namna nyingine.

besti adivaisi ever..
Piga mahesabu kuwa una wake watatu, chakufanya hapo ni kuwagegeda tu hamna namna nyingine.

besti adivaisi ever..wanasema mke wa mtu ni sumu huenda kuna mipanya nyumbani kwao kwa hiyo anendaga kuwauaUpuuzi huo mwambie ajenge familia yake aachane na mambo ya watu.
Mke wa mtu unapata wapi muda wa kwenda kuwatumikia marafiki zako wawili?
Hamna watoto?
Hamna shughuli za kufanya hapo nyumbani?
Mwambie asiwapikie tena bali aongeze jitihada kufanya mambo yenu ya ndoa.
hata w unawezaMsaidie kama unacho cha kumsaidia.
ulijuaje!!!!!!!!!!!!!!!Halafu hao marafiki zake nahisi wanatabia chafu kwa hiyo mkanye mkeo mapema asifundishwe uchafu huko.
Nilitaka ajikite kwenye cogitations kwanza kabla sijatoa opinion zangu.hata w unaweza
hata usipotoa haikuhusu kwanzaNilitaka ajikite kwenye cogitations kwanza kabla sijatoa opinion zangu.
hata usipotoa haikuhusu kwanza






Safi kabisaPiga mahesabu kuwa una wake watatu, chakufanya hapo ni kuwagegeda tu hamna namna nyingine.
Na ukute huwa wanaelewana wale wanatoa pesa kabisa kwa wiki wapikiwe, sababu ya ubachela suala la kujipikia ni gumu jaman hata mimi nliishi maisha ya hao wadada na pesa nlikuwa natoa kwa shost anapikaMwambie haya:
"Kuanzia leo mke wangu sitaki use.nge usenge wako wa kuwapikia hao kenge" akikasirika mle kichuri mwambie "mke wangu hebu tusikilizane hii ni ndoa yetu na mimi kuna kitu utaniambia nitakusikiliza"
Mimi Kulikuwa na mpangaji mwenzangu.
Mimi ninaweza rudi kazini nikamkuta yeye. Ila akitoka njee anakuuliza.
Umepika.
Siku nikamchoka Nikamwambia Kwani umenioa???
Naona alijifunza



Kama ni utaratibu aliokuwa nao kabla hamjakuwa pamoja,sio vizuri kumzuia asiendelee nao,Wakuu nina ndoa ya kama Mwaka mmoja hivi!
Wife tulioana kila mtu akiwa na maisha yake, I mean alikuwa anajitegemea na mimi najitegemea!
Tukaamua kuanzisha makazi mapya, tuachane na yale ya zamani, hii sehemu aliunganishiwa na marafiki zake wa karibu kwa sababu na wao wanaishi hapo, ni nyumba nzuri tulivyoamia mambo yalikuwa poa sana, bahati nzuri wote ni watumishi na tunakisehemu cha kufanya ujasiriamali.
Hao marafiki zake wawili ni watumishi pia, na mara nyingi mke wangu ndio huwa wakwanza kuwahi kurudi nyumbani kabla yao!
Ishu inakuja hapa, kwa takribani kama miezi 3 hivi naona wife ndio amegeuka kama mpishi wao! Kila akipika ni lazima wawe na share kwenye msosi wake, kwa wanawake wanaojitegemea kabisa! Na kila mtu ana nyumbani kwake.
Nilijiuliza wife huwa anapata msaada gani kwa hao wadada hadi awapikie kila siku nikakosa jibu.
Wao kupika ni week end tu! Na hawawezi kuleta msosi kwetu kama wife anavyowapelekea, she use her own money to buy all staffs bahati nzuri she never ask any money for food, due to some agreement, pesa yangu ikuze mtaji na kuendeleza ujenzi na yake ishughulike na mambo ya ndani yote ikiwemo mavazi na chakula Ishu inakuja hapo kwenye hizo affairs nyingine, natamani kumpiga stop! binafsi naona kama hili swala halijakaa vyema wakuu, Tushauriane!!
Nmeshamsaidia asome comment za juuMsaidie kama unacho cha kumsaidia.
fanya maamuzi we si ndo kichwa cha familia,mwambie hupendi kitendo hichi na hichi
SawaNmeshamsaidia asome comment za juu
👍👍...ebu na ww tuskie maoni yakoSawa
Nipo njiani, soon...ebu na ww tuskie maoni yako

Yeah huwa wanachanganya damu na tumavi twa ng'ombe kidogo ndio maana aliposema amle kichuri mke wake mimi fikra zangu fasta zikaniwahisha kwa amberrutty.Hahaha kichuri ni damu ilopikwa ya mnyama inachanganywa na nyongo nak hutumiwa na wakurya sana .. hii humpa mkurya ujasiri unaosikia ule wa musoma hhahaa..
Sasa yeye huyu sijamuelewa anamaanisha nini kwa kweli!!!
Hapo suala sio uchoyo we unaweza kuhudumia familia isio kuhususasa hapo tatizo lipo wapi,! acha uchoyo ndugu
Hamna mwanamke asiyependa outing, sema hujapata pa kumpelekaKati ya vitu ambavyo hapendi ni kwenda kula outing.