Nimfanyaje mke wangu! Kwa tabia hii?

Nimfanyaje mke wangu! Kwa tabia hii?

Mwambie haya:
"Kuanzia leo mke wangu sitaki use.nge usenge wako wa kuwapikia hao kenge" akikasirika mle kichuri mwambie "mke wangu hebu tusikilizane hii ni ndoa yetu na mimi kuna kitu utaniambia nitakusikiliza"
Siyo usenge tu, pia aache kwenda nyegezi kutafuta mboga!!
 
Wakuu nina ndoa ya kama Mwaka mmoja hivi!
Wife tulioana kila mtu akiwa na maisha yake, I mean alikuwa anajitegemea na mimi najitegemea!

Tukaamua kuanzisha makazi mapya, tuachane na yale ya zamani, hii sehemu aliunganishiwa na marafiki zake wa karibu kwa sababu na wao wanaishi hapo, ni nyumba nzuri tulivyoamia mambo yalikuwa poa sana, bahati nzuri wote ni watumishi na tunakisehemu cha kufanya ujasiriamali.

Hao marafiki zake wawili ni watumishi pia, na mara nyingi mke wangu ndio huwa wakwanza kuwahi kurudi nyumbani kabla yao!
Ishu inakuja hapa, kwa takribani kama miezi 3 hivi naona wife ndio amegeuka kama mpishi wao! Kila akipika ni lazima wawe na share kwenye msosi wake, kwa wanawake wanaojitegemea kabisa! Na kila mtu ana nyumbani kwake.

Nilijiuliza wife huwa anapata msaada gani kwa hao wadada hadi awapikie kila siku nikakosa jibu.

Wao kupika ni week end tu! Na hawawezi kuleta msosi kwetu kama wife anavyowapelekea, she use her own money to buy all staffs bahati nzuri she never ask any money for food, due to some agreement, pesa yangu ikuze mtaji na kuendeleza ujenzi na yake ishughulike na mambo ya ndani yote ikiwemo mavazi na chakula Ishu inakuja hapo kwenye hizo affairs nyingine, natamani kumpiga stop! binafsi naona kama hili swala halijakaa vyema wakuu, Tushauriane!!
kwanza inaonesha ni kiasi gani unamuogopa mkeo!!! pili we umeoa au umeolewa?? hivi mkeo unashindwa vipi kumuuliza kuhusu hiyo hali unakaa na kitu kinakutesa weeee.Si uulize bwana mke wangu kulikoni haya mambo vipi inakuwaje hapa mbona hivi? tatizo huwa mnaoa halafu mnawaogopa wanawake mi ni gentleman ni mbishi na mkorofi sana kwa hawa viumbe na ndio inatakiwa uwe hivyo mke akuone we mbabe ndio mtaishi kwa amani lakini kama unamuogopa hivyo baba mmmmh kazi ni kwako
 
Hili ndo tatizo la kuoa mtu ambaye sio rafiki ako...hamjazoeana! Nyie mlioana sababu ya kuwa ye ana ajira na we una ajira (kitu ambacho wengi ndo mnaangalia sikuhizi), laiti kama mngekuwa marafiki ni suala la kukaa chini mkaelewana basi. Pole mwaya.
 
Kwahyo inamana wife amekuwa mama lishe!!?
Mm namashaka na mkeo. Ila usimpige stop, we mwambie kuanzia sasa marafiki zake waje mle pamoja na asiende kuwapelekea.
Kuanzia hapo utajua nn kilikuwa kinaendelea
 
Hili ndo tatizo la kuoa mtu ambaye sio rafiki ako...hamjazoeana! Nyie mlioana sababu ya kuwa ye ana ajira na we una ajira (kitu ambacho wengi ndo mnaangalia sikuhizi), laiti kama mngekuwa marafiki ni suala la kukaa chini mkaelewana basi. Pole mwaya.
Siku hizi watu wanaoa wenye kazi ili wasaidiane maisha
 
Mtanie mkeo kuwa una wake 3, ila usimuulize gharama za msosi pengine huwa wanampa. Huwezi jua makubaliano yao. We mwambie hivyo tu kuwa una wake 3......tena uwe unasisitiza mara kwa mara. Akienda unamwambie msalimie mke mdogo! Halafu wasifie sifie hao mashost zake kiutani utani. Akimaliza miezi 3 bado anawapikia lete mrejesho hapa
 
Tatizo dogo hilo,kaa mezani wekeni mikakati ya maisha na matarajio yenu mnataka mmiliki nini.Nadhani ndio akili ya kubana matumizi itapatikana,na tabia ya kuwa mpishi wa wengine itakufa.
 
Simple advice brother. Think and act like a man on this movie while you are of circumstances. My self I'd keep my mouth shout as something is not right there between your wife and her companion
 
Back
Top Bottom