Nimfanyaje mke wangu! Kwa tabia hii?

Nimfanyaje mke wangu! Kwa tabia hii?

Brother,chakula ( mavi ya baadae) ndyo yanayokutoa roho namna hiyo?
Kwanza kama angelikuwa ni mke wangu ningelifurahi sana cuz inaonyesha kuwa huyo mwanamke siyo mchoyo

Pia,wanawake wanatabia ya kupelekeana vyakula majumbani na hata kuazimana mavazi...acha uroho utakufa!
Mara zote mkuu?
 
Hebu Chunguza kwanza inawezekana wanamlipa pesa kwa hicho anachokifanya mkeo yaani amekuwa Mfanyakazi wao.
Sidhani kama wanamlipa mkuu, she is well financially, kuwazidi.
Labda kwa namna nyingine...
 
Wakuu nina ndoa ya kama Mwaka mmoja hivi!
Wife tulioana kila mtu akiwa na maisha yake, I mean alikuwa anajitegemea na mimi najitegemea!

Tukaamua kuanzisha makazi mapya, tuachane na yale ya zamani, hii sehemu aliunganishiwa na marafiki zake wa karibu kwa sababu na wao wanaishi hapo, ni nyumba nzuri.
Tulivyoamia mambo yalikuwa poa sana, bahati nzuri wote ni watumishi na tunakisehemu cha kufanya ujasiriamali.

Hao marafiki zake wawili ni watumishi pia, na mara nyingi mke wangu ndio huwa wakwanza kuwahi kurudi nyumbani kabla yao!
Ishu inakuja hapa, kwa takribani kama miezi 3 hivi naona wife ndio amegeuka kama mpishi wao! Kila akipika ni lazima wawe na share kwenye msosi wake, kwa wanawake wanaojitegemea kabisa! Na kila mtu ana nyumbani kwake.

Nilijiuliza wife huwa anapata msaada gani kwa hao wadada hadi awapikie kila siku nikakosa jibu.

Wao kupika ni week end tu! Na hawawezi kuleta msosi kwetu kama wife anavyowapelekea, she use her own money to buy all staffs. Bahati nzuri she never ask any money for food, due to some agreement, pesa yangu ikuze mtaji na kuendeleza ujenzi na yake ishughulike na mambo ya ndani yote ikiwemo mavazi na chakula.
Ishu inakuja hapo kwenye hizo affairs nyingine, natamani kumpiga stop!
Binafsi naona kama hili swala halijakaa vyema wakuu, Tushauriane!!
pole sana mkuu ila unapaswa ukae chini na mkeo na muweze kuongea nae kindani zaidi na kama anakuheshimu ww kama mme wake atakwambia ni kwann anafanya hivyo na kama haitokupendeza mwabie abadilike
 
Mkuu kama umeoa na unatoa matumizi yote ya nyumbani unatakiwa utoe sauti unatakiwa usimame kama mwanaume

Huo anaofanya mke wako ni uzwazwa kabisa
Hujanisoma vizuri mkuu...
 
Mkuu hata jambo dogo kama hili unashindwa kuuliza au kulikemea ikiwa linakuudhi! Naomba nikuulize kitu 'wakati ukimvisha Pete mkeo huku umepiga magoti ulikua ukimwambia maneno gani?..............

Kosa lako lilianzia hapo
 
Upuuzi huo mwambie ajenge familia yake aachane na mambo ya watu.
Mke wa mtu unapata wapi muda wa kwenda kuwatumikia marafiki zako wawili?
Hamna watoto?
Hamna shughuli za kufanya hapo nyumbani?
Mwambie asiwapikie tena bali aongeze jitihada kufanya mambo yenu ya ndoa.
 
Back
Top Bottom