Nimfanyaje mke wangu! Kwa tabia hii?

Nimfanyaje mke wangu! Kwa tabia hii?

Kwanza ukue ujue namna ya kuhandle mambo yako ya ndani,kingereza chako nimekipenda nilikua nakisoma ktk kitabu cha HAWA THE BUS DRIVER
 
Kuna dalili ya kuwa hao mabinti wawili ni wasagaji na kuna mmoja ni tomboy na mwingine tomgirl huyo tomboy ana wake wawili mmoja ni mkeo.
Tafakari chukua hatua.
 
Wakuu nina ndoa ya kama Mwaka mmoja hivi!
Wife tulioana kila mtu akiwa na maisha yake, I mean alikuwa anajitegemea na mimi najitegemea!

Tukaamua kuanzisha makazi mapya, tuachane na yale ya zamani, hii sehemu aliunganishiwa na marafiki zake wa karibu kwa sababu na wao wanaishi hapo, ni nyumba nzuri.
Tulivyoamia mambo yalikuwa poa sana, bahati nzuri wote ni watumishi na tunakisehemu cha kufanya ujasiriamali.

Hao marafiki zake wawili ni watumishi pia, na mara nyingi mke wangu ndio huwa wakwanza kuwahi kurudi nyumbani kabla yao!
Ishu inakuja hapa, kwa takribani kama miezi 3 hivi naona wife ndio amegeuka kama mpishi wao! Kila akipika ni lazima wawe na share kwenye msosi wake, kwa wanawake wanaojitegemea kabisa! Na kila mtu ana nyumbani kwake.

Nilijiuliza wife huwa anapata msaada gani kwa hao wadada hadi awapikie kila siku nikakosa jibu.

Wao kupika ni week end tu! Na hawawezi kuleta msosi kwetu kama wife anavyowapelekea, she use her own money to buy all staffs. Bahati nzuri she never ask any money for food, due to some agreement, pesa yangu ikuze mtaji na kuendeleza ujenzi na yake ishughulike na mambo ya ndani yote ikiwemo mavazi na chakula.
Ishu inakuja hapo kwenye hizo affairs nyingine, natamani kumpiga stop!
Binafsi naona kama hili swala halijakaa vyema wakuu, Tushauriane!!
Mpige stop, akikaidi tembea na hao marafiki zake wawe wake wenza
 
Anza tabia ya kumtoa out, msiwe mnakula home. Daily ni out for tge next month halafu uone inakuwaje
 
Dawa Ni kuwatafuna hao marafiki tu.
Ataacha huo ujinga.
Kama watu wanaishi kwa jasho lenu, inabidi walitumikie Sasa.
 
Ni kweli mkuu! Na ana wivu mkali kuliko maelezo.
Hao wadada ni marafiki zake wazuri lakini huwa harusu hata mmoja apande gari yangu, asipokuwepo!!

Wanajuana Tabia, either anajua watajilengesha kwako au watakwambia issue zake.
 
Hebu Chunguza kwanza inawezekana wanamlipa pesa kwa hicho anachokifanya mkeo yaani amekuwa Mfanyakazi wao.
 
Wakuu nina ndoa ya kama Mwaka mmoja hivi!
Wife tulioana kila mtu akiwa na maisha yake, I mean alikuwa anajitegemea na mimi najitegemea!

Tukaamua kuanzisha makazi mapya, tuachane na yale ya zamani, hii sehemu aliunganishiwa na marafiki zake wa karibu kwa sababu na wao wanaishi hapo, ni nyumba nzuri.
Tulivyoamia mambo yalikuwa poa sana, bahati nzuri wote ni watumishi na tunakisehemu cha kufanya ujasiriamali.

Hao marafiki zake wawili ni watumishi pia, na mara nyingi mke wangu ndio huwa wakwanza kuwahi kurudi nyumbani kabla yao!
Ishu inakuja hapa, kwa takribani kama miezi 3 hivi naona wife ndio amegeuka kama mpishi wao! Kila akipika ni lazima wawe na share kwenye msosi wake, kwa wanawake wanaojitegemea kabisa! Na kila mtu ana nyumbani kwake.

Nilijiuliza wife huwa anapata msaada gani kwa hao wadada hadi awapikie kila siku nikakosa jibu.

Wao kupika ni week end tu! Na hawawezi kuleta msosi kwetu kama wife anavyowapelekea, she use her own money to buy all staffs. Bahati nzuri she never ask any money for food, due to some agreement, pesa yangu ikuze mtaji na kuendeleza ujenzi na yake ishughulike na mambo ya ndani yote ikiwemo mavazi na chakula.
Ishu inakuja hapo kwenye hizo affairs nyingine, natamani kumpiga stop!
Binafsi naona kama hili swala halijakaa vyema wakuu, Tushauriane!!
Wewe umeolewa na hujaoa kama unashindwa hata kumuuliza mkeo.
Pole sana
 
Ona sasa unavyokosa sauti na maamuzi kwa wife wako kisa tu chakula anagharamikia yeye,
mnapooa wanawake wenye vipato muwe mnajipanga kwanza kiakili ili muweze kutoa maamuzi kwa hao wake zenu.

Hivi unafikiri chakula ungegharamikia wewe, wife angepata wapi ujasiri wa kuwahudumia mashosti zake!!!

Ushauri ni huu, kataza mkeo, anza kununua wewe chakula, hela ya wife ifanye mengine.
 
Hii mada kama ungemwambia mkeo yote angekujibu kabla hujakimbilia JF. Shutuka mwanamme kujiamini.
 
Anza kuwasifia mbele ya mkeo, tena wape sifa zote ambazo hata mkeo haujawahi kumsifia, hata mkiwa wawili chumbani na mkeo wewe wasifie tu hadi akwazike sana. kwa akili za wanawake ataanza kuwachukia na kuwaweka mbali
Niliwahi kumsifia mmoja tena kwa kitu kidogo tu, alikuwa mwekundu mno! Na hata tulipokuwa tunaenda aliahirisha.
 
Wakuu nina ndoa ya kama Mwaka mmoja hivi!
Wife tulioana kila mtu akiwa na maisha yake, I mean alikuwa anajitegemea na mimi najitegemea!

Tukaamua kuanzisha makazi mapya, tuachane na yale ya zamani, hii sehemu aliunganishiwa na marafiki zake wa karibu kwa sababu na wao wanaishi hapo, ni nyumba nzuri.
Tulivyoamia mambo yalikuwa poa sana, bahati nzuri wote ni watumishi na tunakisehemu cha kufanya ujasiriamali.

Hao marafiki zake wawili ni watumishi pia, na mara nyingi mke wangu ndio huwa wakwanza kuwahi kurudi nyumbani kabla yao!
Ishu inakuja hapa, kwa takribani kama miezi 3 hivi naona wife ndio amegeuka kama mpishi wao! Kila akipika ni lazima wawe na share kwenye msosi wake, kwa wanawake wanaojitegemea kabisa! Na kila mtu ana nyumbani kwake.

Nilijiuliza wife huwa anapata msaada gani kwa hao wadada hadi awapikie kila siku nikakosa jibu.

Wao kupika ni week end tu! Na hawawezi kuleta msosi kwetu kama wife anavyowapelekea, she use her own money to buy all staffs. Bahati nzuri she never ask any money for food, due to some agreement, pesa yangu ikuze mtaji na kuendeleza ujenzi na yake ishughulike na mambo ya ndani yote ikiwemo mavazi na chakula.
Ishu inakuja hapo kwenye hizo affairs nyingine, natamani kumpiga stop!
Binafsi naona kama hili swala halijakaa vyema wakuu, Tushauriane!!
1. Weka ukaribu kabisa na hao wanawake ambao ni marafiki zake ikiwezekana watongoze na wakikubali tu PIGA MASHINE ZA MAANA.
Utapata majibu yote either wife wako au hao marafiki watakueleza ukweli ulivyo na ataacha tu hasa akianza kuona ukaribu wenu.

2. Pole sana. Nakuona kama vile unashindwa kumchana makavu mkeo.
Which means huna sauti kubwa kwa mkeo.
(This is another problem )
Usife na tai shingoni, mweleze tu kwakuwa ni mkeo.
 
Brother,chakula ( mavi ya baadae) ndyo yanayokutoa roho namna hiyo?
Kwanza kama angelikuwa ni mke wangu ningelifurahi sana cuz inaonyesha kuwa huyo mwanamke siyo mchoyo

Pia,wanawake wanatabia ya kupelekeana vyakula majumbani na hata kuazimana mavazi...acha uroho utakufa!
 
Ona sasa unavyokosa sauti na maamuzi kwa wife wako kisa tu chakula anagharamikia yeye,
mnapooa wanawake wenye vipato muwe mnajipanga kwanza kiakili ili muweze kutoa maamuzi kwa hao wake zenu.

Hivi unafikiri chakula ungegharamikia wewe, wife angepata wapi ujasiri wa kuwahudumia mashosti zake!!!

Ushauri ni huu, kataza mkeo, anza kununua wewe chakula, hela ya wife ifanye mengine.
Asante, wazo zuri!
 
Back
Top Bottom