Nimezikatilia mbali na safari imekufa

Ulimwonea mbona kuna nguo za kushindia nyumbani na nguo za safari
 
Mbona kuna nguo za kushindia home na nguo za safari uonevu huo
 
Hongera kwa kufanikiwa kuahirisha safari yake
 
Mi mke wangu zamani alikuwa ananivalia sana shanga na Mimi huwa nazikata na kuzitupa. Amekoma na havai tena hizo shanga, huwa hanibishii kwa vile ananijua, mi sio wa kubishana nae
 
Dah ndio ukute jamaa kajiandaa kabisa nahotel kalipia mara anaona ziiiiii
 
[emoji23][emoji23][emoji23],ww anakuvalia 2.mwenzio ana mvalia MZIGO WA SHANGA.
 
Maisha ya ndoa wanaume yanatuondoa duniani mapema sana na kuwaacha wanawake wakifurahia maisha...
 
Yani huu Uzi, asilimia90% wanaume walichangia wamefurahi mnoo alivyompiga kelebu, mm anipige asinipige ni lazima ningetoka, kila Siku kibamia tuu AAA Mara moja moja si mby
Kibamia kinatokana nawewe kuwa nabwawa badala yakisima
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa kelb hyo nadhani ata kumbukumbu za alikokua anaenda zilipotea ghafla..na hyo ndio dawa yao cjui wanafikiriaga ndoa ni darasani kila mara wanafanya test
 
Mkuu ndoa yako ina matatizo zaidi ya hilo zigo la shanga
Mkeo ni mchepukaji
Mkeo hajui wewe ndio
kichwa cha familia unaye-
paswa kuhashimiwa
Mkeo ana mpango wa
kukupanda kichwani
Wewe pia huwajibiki kufuatilia
nyendo za mkeo unakuwa
busy kuchati. Pia jifunze
kufahamu kama mkeo anaridhika na mapenzi yako
KUWA MTU USIYETABIRIKA NA MWENYE TABIA ZISIZOZOELEKA AKAKUKARI

Nimeicheki mkuu usijali nitakucheki pia tupo pamoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…