Nimezikatilia mbali na safari imekufa

Sasa hapo umetib ugonjwa m1,bado mwingne,..ya kwamba,huyo kashaliwa,na umeshalitambua hilo,sasa unachkua hatua gan.au umetib jip kwa juu tuu,..?
Subiri mrejesho wa ni vp nimemaliza tatizo
 
Na
Pole mwanamke mwenzangu kwa kupigwa, najua baada ya muda mpenda shanga nyingi atakununulia nyingine na kukupa rungu la kipepe usahau maumivu......
[HASHTAG]#hatushindwii[/HASHTAG]
Cc espy
Na kweliii hamshindwi yupo Mke wa mtu tulikuwa na mazoea ya Dada na kaka sasa jamaa kamind anasema napiga mzigo nikambia sio kweli Mke wake alipokuja kusikia akanambia pamoja na kwamba hakuwa na lengo hilo atanipa mzigo na mmewe yupo na ndivyo ilivyotokea wanawake ni konyooo kabisa
 
Inawezekana, shanga rundo alipewa na Sangoma ila wewe ukadhani kuwa ni za kwenda kugegedwa.

Any way, mwanamke hachungwi bali hujitunza mwenyewe.
Na milki ya papuchi ni yake! Akisuguliwa kasuguliwa yeye!
Mchungeni tembo maana washenzi watang'oa vipusa, hizi papuchi waacheni wakunwe miwasho.
Mnatoa mimacho kwani wanaenda kuolewa?

Wewe kidume hakikisha kila mtaa una mtoto!! Mnalialia nini!
 
 

Attachments

  • FB_IMG_1495344414703.jpg
    33.7 KB · Views: 64
Ha ha ha ha ushapewa sasa au bado
 
Aisee pole sana..
 
Dah, umemuwahi sana, usingempiga kwanza, ungemnyatia mpaka anapoenda kuingia halafu huko sasa ndio umtie kisu cha koromeo kabisa.. Shenz zake.
Punguza jazba ndugu hawa viumbe yapaswa kuishi nao kwa akili sasa ukiamua kufanya kama unavyotaka si utawaua wengi .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…