Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 17,165
- 19,820
Usisikilize miongozo ya kipumbavu mkuu, kula isha kijana siku zenyewe fupi hizi!Asante kwa miongozo na ufuatiliaji wako kwangu
Usisikilize miongozo ya kipumbavu mkuu, kula isha kijana siku zenyewe fupi hizi!Asante kwa miongozo na ufuatiliaji wako kwangu
Kweli wewe ni fundi manjogotoUsisikilize miongozo ya kipumbavu mkuu, kula isha kijana siku zenyewe fupi hizi!
Kila mtu acheze karata zakeNi Jambo la kawaida watu waoga kukimbilia mipira iliyokufa.
Wanaume waoga, waasiojiamini, wasio na pesa, ni nadra Sana kutoka na Mwanamke aliyekwenye prime yake.
Hata usipoonyesha hivyo ndivyo inavyotafsirika.
Kila mtu acheze karata zake
Vijana bado hamjayajua maisha , sasa usipokua na pesa hao watoto wa single maza utawalea vipiNi Jambo la kawaida watu waoga kukimbilia mipira iliyokufa.
Wanaume waoga, waasiojiamini, wasio na pesa, ni nadra Sana kutoka na Mwanamke aliyekwenye prime yake.
Hata usipoonyesha hivyo ndivyo inavyotafsirika.
Vijana bado hamjayajua maisha , sasa usipokua na pesa hao watoto wa single maza utawalea vipi
Min-me na Robert Heriel mlikuwa wapi kunipa ushauri kama huu ona sasa nishafanyia ushauri mwingineVijana bado hamjayajua maisha , sasa usipokua na pesa hao watoto wa single maza utawalea vipi
Ushauri wangu ni kuwa na huyo single maza kama umempenda na mnawez endana wala hakuna tatizoMin-me na Robert Heriel mlikuwa wapi kunipa ushauri kama huu ona sasa nishafanyia ushauri mwingine
Asante kakaUshauri wangu ni kuwa na huyo single maza kama umempenda na mnawez endana wala hakuna tatizo
Tuma lipa namba nikuwekee ya katiAsante kaka
I mean konyagi ya katiTuma lipa namba nikuwekee ya kati
Unayo NIDA?Wadau natumai mko poa kabisa na wale wagonjwa wote Mungu awape uponyaji. Kufupisha habari mimi ni kijana ambaye nipo kwenye 3rd floor agewise kipindi bado nasoma sikuwa mtu wa mademu sana mara nyingi watu waliniita baba paroko au kwa sasa church boy. Najuta kwanini nimejitunza miaka yote 10 halafu anatokea single mom anauteka moyo wangu kiurahisi hivi kwahiyo nitaishi hivi bila kuchakata bikra? Kingine huyu single mother anaonesha kujali japo ashaanza kuona mapungufu yangu ya kijamii kama kutokujiamini kwangu na kuwaogopa maboss zangu kazini karibuni kwa ushauri wenu
NdiyoUnayo NIDA?
199Xxxxxxxxxxxxxxxxxx312Ndiyo
Aggregates ya 1-0Baba mtakatifu unaenda kuwa baba wa kambo 😹😹
Huyo single maza atakupasua kichwa inatakiwa aolewe na single daddy..!!
Mambo ya kuanza mechi mwingine kashatangulia na goli BIG NO 😹🤣
Kwanza ukiingia kwenye penzi na mtu hutangazi,ni siri yako,ni raha yako,ni utamu wako,kula raha,mengine yaje utayasolveWadau natumai mko poa kabisa na wale wagonjwa wote Mungu awape uponyaji. Kufupisha habari mimi ni kijana ambaye nipo kwenye 3rd floor agewise kipindi bado nasoma sikuwa mtu wa mademu sana mara nyingi watu waliniita baba paroko au kwa sasa church boy. Najuta kwanini nimejitunza miaka yote 10 halafu anatokea single mom anauteka moyo wangu kiurahisi hivi kwahiyo nitaishi hivi bila kuchakata bikra? Kingine huyu single mother anaonesha kujali japo ashaanza kuona mapungufu yangu ya kijamii kama kutokujiamini kwangu na kuwaogopa maboss zangu kazini karibuni kwa ushauri wenu