Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,435
- 9,389
- Thread starter
- #61
Ni kweli hawa viumbe wanapenda fimbo za ukwaju hatariKwanza ukiingia kwenye penzi na mtu hutangazi,ni siri yako,ni raha yako,ni utamu wako,kula raha,mengine yaje utayasolve