Nimezama kwa mtumishi wa Mungu

Nimezama kwa mtumishi wa Mungu

Habari zenu wote

Nisipoteze muda nipo kwenye mahusiano na mtumishi wa Mungu ni mchungaji yupo uko kusini anafanya injili vizur sana yan sana.

Tulikutana FB alikuwa anatuponda wadada tunaoweka ubandia mwilini kama kope kucha nywere nk. Nikamwambia Asante kwakutusaidia tunaendelea kupona ndo akaanza kunitumia vifungu messenger ukawa ukaribu mwishoe mahusiano

Mwanzo alikuwa Kila kitu anasema ni dhambi na mim nikawa nakubaliana nae mana nisije ikosa ndoa kwa pastor yaan kumuita mume hataki baadae akakolea akaanza kuniita mke na majina mengine mazur akasema sio dhambi

Akafunga safari kuja kuniona huku niliko na tukakutana sehemu ya wazi chaa ajabu akanipiga busu(denda) na akasema sio dhambi akanishika na maungo yangu akasema sio dhambi nikabaki namshangao[emoji3064][emoji3064]

Mpaka sasa nimebaki na maswali mengi je uyu ni pastor wa Mungu kweli au nimepigwa na kitu kizito maana sikuiz anaongelea sana siku tukikutana kimwili Jin's atavnifanya
Cha mwisho nampenda bado
= nywele

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Wajinga ndiyo waliwao.

Wala wazinifu hawatauona uzima wa milele.
 
Akafunga safari kuja kuniona huku niliko na tukakutana sehemu ya wazi chaa ajabu akanipiga busu(denda) na akasema sio dhambi akanishika na maungo yangu

Alivyokushika "papa" hukulowa. ??
 
Hujanielezea shida ni Nini...wewe hauvai boxer, saa, mkanda, soksi, viatu kofia etc..hutumii gari, simu ?
Broo nishakuelewa concern yako, ila hayo ni mavazi, boxer, mkanda, soksi hayo yote ni mavazi, binadamu tumejaliwa kucha naturally na nywele naturally, kwann uweke artificial au uweke za mwenzako, Kidini mungu hataki hivo, ila kama tunaongelea kwa upande ambao sio wa dini, mm sioni shida, wacha wavae maana ni mwili wake.
 
Broo nishakuelewa concern yako, ila hayo ni mavazi, boxer, mkanda, soksi hayo yote ni mavazi, binadamu tumejaliwa kucha naturally na nywele naturally, kwann uweke artificial au uweke za mwenzako, Kidini mungu hataki hivo, ila ktunaongelea kwa upande ambao sio wa dini, mm sioni shida, wacha wavae maana ni mwili wake.
Nionyeshe mstari wa biblia au Quran uliyosema usiweke kucha bandia... na kwani Mungu mwenye nguvu nyingi zote hizi aumie kwa kitu kidogo kama mtu kuweka kucha ...halafu unajisifia Mungu wako almighty..wakati mtu Akiwa mbagala geto kwake kaweka kucha nywele cjui ananuna huko alipo
 
Huyo ni mzinzi tu kama wazinzi wengine Mkuu.

Tena siku hizi wengi wa hawa wanajiita Watumishi wa Mungu wametaitiwa kwenye uzinzi balaa.

Wataenda na wengi sana.

Japo hii ni chai.
 
Nionyeshe mstari wa biblia au Quran uliyosema usiweke kucha bandia... na kwani Mungu mwenye nguvu nyingi zote hizi aumie kwa kitu kidogo kama mtu kuweka kucha ...halafu unajisifia Mungu wako almighty..wakati mtu Akiwa mbagala geto kwake kaweka kucha nywele cjui ananuna huko alipo
Seen.
 
Back
Top Bottom