Nimezama kwa mtumishi wa Mungu

Nimezama kwa mtumishi wa Mungu

Habari zenu wote
Nisipoteze mda nipo kwenye mahusiano na mtumishi wa Mungu ni mchungaji yupo uko kusini anafanya injili vizur sana yan sana
Tulikutana FB alikuwa anatuponda wadada tunaoweka ubandia mwilini kama kope kucha nywere nk. Nikamwambia Asante kwakutusaidia tunaendelea kupona ndo akaanza kunitumia vifungu messenger ukawa ukaribu mwishoe mahusiano

Mwanzo alikuwa Kila kitu anasema ni dhambi na mim nikawa nakubaliana nae mana nisije ikosa ndoa kwa pastor yaan kumuita mume hataki baadae akakolea akaanza kuniita mke na majina mengine mazur akasema sio dhambi

Akafunga safari kuja kuniona huku niliko na tukakutana sehemu ya wazi chaa ajabu akanipiga busu(denda) na akasema sio dhambi akanishika na maungo yangu akasema sio dhambi nikabaki namshangao[emoji3064][emoji3064]

Mpaka sasa nimebaki na maswali mengi je uyu ni pastor wa Mungu kweli au nimepigwa na kitu kizito maana sikuiz anaongelea sana siku tukikutana kimwili Jin's atavnifanya
Cha mwisho nampenda bado
Screenshot_20240106_191422_WhatsApp.jpg
 
JamiiForums1257714781.gif
 
Nenda tu Mkazi sisi BBC tuko nyuma tukirekodi matukio kama tuliofanya kwa TB Joshua ili watu na waumini wake wajue kuwa baba yao wa kiroho ni fedhuli, mchungaji bandia na fanya biashara ya injili.
Ila ujue utatumika Kisha utemwe kama wengine... Na usije kulia Lia hapa!
 
Habari zenu wote
Nisipoteze mda nipo kwenye mahusiano na mtumishi wa Mungu ni mchungaji yupo uko kusini anafanya injili vizur sana yan sana
Tulikutana FB alikuwa anatuponda wadada tunaoweka ubandia mwilini kama kope kucha nywere nk. Nikamwambia Asante kwakutusaidia tunaendelea kupona ndo akaanza kunitumia vifungu messenger ukawa ukaribu mwishoe mahusiano

Mwanzo alikuwa Kila kitu anasema ni dhambi na mim nikawa nakubaliana nae mana nisije ikosa ndoa kwa pastor yaan kumuita mume hataki baadae akakolea akaanza kuniita mke na majina mengine mazur akasema sio dhambi

Akafunga safari kuja kuniona huku niliko na tukakutana sehemu ya wazi chaa ajabu akanipiga busu(denda) na akasema sio dhambi akanishika na maungo yangu akasema sio dhambi nikabaki namshangao[emoji3064][emoji3064]

Mpaka sasa nimebaki na maswali mengi je uyu ni pastor wa Mungu kweli au nimepigwa na kitu kizito maana sikuiz anaongelea sana siku tukikutana kimwili Jin's atavnifanya
Cha mwisho nampenda bado
Huyo atakuwa mtume wa TB Joshua tu.
 
Naye binadamu wachungaji hata wa Injilist na viongozi wote wa dini hukosea so hakuna mkamilifu ila angalia isije ikawa ndio tabia yake maana wengi wamejificha kwenye dini, nenda kamtembelee huko aliko unaweza pata ushuhuda wake
 
Tulikutana FB alikuwa anatuponda wadada tunaoweka ubandia mwilini kama kope kucha nywere nk. Nikamwambia Asante kwakutusaidia tunaendelea kupona ndo akaanza kunitumia vifungu messenger ukawa ukaribu mwishoe mahusiano

Mwanzo alikuwa Kila kitu anasema ni dhambi na mim nikawa nakubaliana nae mana nisije ikosa ndoa kwa pastor yaan kumuita mume hataki baadae akakolea akaanza kuniita mke na majina mengine mazur akasema sio dhambi

Akafunga safari kuja kuniona huku niliko na tukakutana sehemu ya wazi chaa ajabu akanipiga busu(denda) na akasema sio dhambi akanishika na maungo yangu akasema sio dhambi nikabaki namshangao[emoji3064][emoji3064]

Smart911 njoo uone unaa wa wanaojifanya walokole kindakindaki hukuuu

hahahaaa...

Mtoa mada Mapenzi hayashauriwiiii fuata moyo wako
 
Back
Top Bottom