Dah,hiyo ni very sad news to me ambaye ndani kabisa ya roho yangu napenda ukristo...but ndio ukweli mchunguIla watumishi wengi siku hz wanafanya sana sexual abuse hasa kwa wadada
Ni vile wengi hawatoi taarifa
HaswaaaDevil at work! Tayana-wog
BarikiwaHaswaaa
Tuko mwishoni tuwe makini!
Haya baba Mwakasege Yuko live now,anaanza Arusha Leo mpk jpili!
Utube, upendo tv live...redio upendo,nk
See u nikimaliza mpendwa wangu
Smart huendi mbinguni ujue masikini sista wawatu😁Nishawahi ingiza Sister wa kanisani kwenye kumi na nane... hahaha.. Mungu anisamehe tu...
Huo ubandia wa kope, kucha, wanja ni kazi za yule mwovu, hushangai kwa nini mtumishi amenasa?Habari zenu wote
Nisipoteze muda nipo kwenye mahusiano na mtumishi wa Mungu ni mchungaji yupo uko kusini anafanya injili vizur sana yan sana.
Tulikutana FB alikuwa anatuponda wadada tunaoweka ubandia mwilini kama kope kucha nywere nk. Nikamwambia Asante kwakutusaidia tunaendelea kupona ndo akaanza kunitumia vifungu messenger ukawa ukaribu mwishoe mahusiano
Mwanzo alikuwa Kila kitu anasema ni dhambi na mim nikawa nakubaliana nae mana nisije ikosa ndoa kwa pastor yaan kumuita mume hataki baadae akakolea akaanza kuniita mke na majina mengine mazur akasema sio dhambi
Akafunga safari kuja kuniona huku niliko na tukakutana sehemu ya wazi chaa ajabu akanipiga busu(denda) na akasema sio dhambi akanishika na maungo yangu akasema sio dhambi nikabaki namshangao[emoji3064][emoji3064]
Mpaka sasa nimebaki na maswali mengi je uyu ni pastor wa Mungu kweli au nimepigwa na kitu kizito maana sikuiz anaongelea sana siku tukikutana kimwili Jin's atavnifanya
Cha mwisho nampenda bado
Sema ukiwa shabiki wa dini uwe pia smart kichwani la sivyo watumishi they will use you in all aspects of your lifeDah,hiyo ni very sad news to me ambaye ndani kabisa ya roho yangu napenda ukristo...but ndio ukweli mchungu
Kabisa kabisa....Sema ukiwa shabiki wa dini uwe pia smart kichwani la sivyo watumishi they will use you in all aspects of your life
Neno "bandia" lina maana gani??Mi naomba niulize kucha na nywele bandia Zina shida gani
Kha, hapo hakuna wachungaji mkuu
Huu mwandiko wakiume kabsa huuAlafu unaweza kukuta we ni mwanaume
Sii angekataa, kukubali kwake Ina maana siyo dhambi...Smart huendi mbinguni ujue masikini sista wawatu😁
Pasta akipata gono itabidi asafiri akatibiwe mbali huko...........Sadaka zetu zinawapa ugali/Energy ya kuzinia, Nakushauri mpe Gono hatokusahau.
😁😁😁🤠!Sii angekataa, kukubali kwake Ina maana siyo dhambi...
Ila lazima ashike adabu ya kukojoa usaa wenye damuPasta akipata gono itabidi asafiri akatibiwe mbali huko...........
Kwanini uweke bandia wakati original ipo? Kwani hao walioamua kubaki na nywele na kucha za asili wako uchi?Hujajibu swali...Kuna shida gani...au ulitaka tuishi uchi kama wanyama au