Nishawahi ingiza Sister wa kanisani kwenye kumi na nane... hahaha.. Mungu anisamehe tu...
Hahahaaa... shangaa naweweTatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana... Ukifanya wewe dhambi, wakifanya wao siyo dhambi...
Chezea smart wewee😁🤭!Nishawahi ingiza Sister wa kanisani kwenye kumi na nane... hahaha.. Mungu anisamehe tu...
[emoji23][emoji23]Kwa hiyo unataka sisi tukuzuie usiwe mama mchungaji au unataka tuunde kamati ya uzinzi?
Hujajibu swali...Kuna shida gani...au ulitaka tuishi uchi kama wanyama auHapo kwenye BANDIA ndiyo shida yenyewe hiyo!
Hazina shidaMi naomba niulize kucha na nywele bandia Zina shida gani
Habari zenu wote
Nisipoteze muda nipo kwenye mahusiano na mtumishi wa Mungu ni mchungaji yupo uko kusini anafanya injili vizur sana yan sana.
Tulikutana FB alikuwa anatuponda wadada tunaoweka ubandia mwilini kama kope kucha nywere nk. Nikamwambia Asante kwakutusaidia tunaendelea kupona ndo akaanza kunitumia vifungu messenger ukawa ukaribu mwishoe mahusiano
Mwanzo alikuwa Kila kitu anasema ni dhambi na mim nikawa nakubaliana nae mana nisije ikosa ndoa kwa pastor yaan kumuita mume hataki baadae akakolea akaanza kuniita mke na majina mengine mazur akasema sio dhambi
Akafunga safari kuja kuniona huku niliko na tukakutana sehemu ya wazi chaa ajabu akanipiga busu(denda) na akasema sio dhambi akanishika na maungo yangu akasema sio dhambi nikabaki namshangao[emoji3064][emoji3064]
Mpaka sasa nimebaki na maswali mengi je uyu ni pastor wa Mungu kweli au nimepigwa na kitu kizito maana sikuiz anaongelea sana siku tukikutana kimwili Jin's atavnifanya
Cha mwisho nampenda bado
Anatuuliza sisi tena kama mtumishi,au kapigwa?🙆Kumekucha
Kwanza nawaogopa watumishi Wana mambo mengi mnoo umesikia ya TB joshuaAnatuuliza sisi tena kama mtumishi,au kapigwa?🙆
Nimeyasikia,ila hamna evidence....Kwanza nawaogopa watumishi Wana mambo mengi mnoo umesikia ya TB joshua
Ila watumishi wengi siku hz wanafanya sana sexual abuse hasa kwa wadadaNimeyasikia,ila hamna evidence....