Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 11,250
- 24,081
Hii ni baada ya mh CHASHA FARMING kunitoa usingizi na ndipo nilipo kumbuka kwenye miaka ya 2004 tuliikata sana Ile miti lakini Bado nikakumbuka Kuna poli kama heka2-3 tulibakiza Kwa ajiri ya miti ya matumizi pamoja na dawa.
Jtatu asubhi sana nikaenda huko Kwa lengo Hilo Hilo kuangalia hiyo miti na nikweli nimeikuta Tena ikiwa na matunda ya kutosha.
Japo sijazagaa sana lengo lilikuwa kujihakikishia kama Bado ipo. miti kama 6 niliyoona na hakika ilikuwa na matunda ya kutosha kabisa.
Hivyo Ndg CHASHA FARMING Niko tiyari kukutumia Bure popote pale ulipo uuze then unipe feedback yanahitajika kiasi Gani na nipewe na elimu ya kuyazalisha Kwa wingi(kupanda)
Ni hayo tu
Picha hizi hapa nilizipiga saa12 asubhi kuliwa na manyunyu ya mvua
Huku wanaitwa Magogondi.