Nimeweza kutengeneza App kwa kutumia AI

Nimeweza kutengeneza App kwa kutumia AI

Je umevutiwa na PataChumba App?

  • Ndiyo

    Votes: 9 81.8%
  • Hapana

    Votes: 3 27.3%

  • Total voters
    11
Inafanya kazi mikoa yote, yaani wewe unaweza kuwa na vyumba vyako unavipost kisha sisi tunapitia matangazo yako ili kujiridhisha kisha tunathibitisha. Matangazo yako yakishathibitishwa yatawafikia wateja au wanaotafuta vyumba kote nchini. Hii app inasaidia zaidi kuokoa muda na pesa kuzunguka kutafuta vyumba vya kupanga siku nzima huenda bila mafanikio, pia inaokoa pesa utakayotumia kuzunguka huku na kule kutafuta chumba cha kupanga hivyo utawasiliana moja kwa moja na mwenye chumba na utamfikia moja kwa moja. Kwa mwenye nyumba ni sehemu nzuri sana ya kutangaza vyumba vyako yaani kuvitoa gizani na kuviweka kwenye mwanga panapoonekana vizuri kwa kila mtu. Kwa sasa hii app inaoperate nchini lakini nimejaribu kuongeza na miji miwili nchini kenya kwa majaribio.
Sijui ubora wa app yako lakini wazo lako ni safi kabisa. Hakuna watu nawachukia kama madalali wa mtaani ambao wanaweka gharama kubwa kwa kila kitu. Akitokea mtu akiweza kutengeneza platform ya kuweza kuwaunganisha wenye nyumba na wapangaji moja kwa moja na akachukua ada ndogo basi ataua hawa madalali uchwara. 1. Mwenye chumba anakuletea tangazo 2. Wewe unahakiki ni mwenye nyumna halali, unapiga picha na kuweka tangazo. 3. Mtafuta nyumba anachagua na ku-book kuangalia 4. Akipenda anachukuwa nyumba na wewe unapata ada kidogo. Usipende kutoza fedha nyingi. Kingine: Anza na eneo dogo eg jiji la Dar na mambo yakikaa vizuri ndiyo upanue huduma. Hii itakufanya kuzoea na kujua changamoto nyingi kwa sababu ku-code app inaweza kuwa rahisi lakini kui-mantain ni kitu kingine
 
Nimekuelewa ndugu yangu, ninajitahidi kuestablish mawakala sehemu mbalimbali ndani ya miji yote nchini ili kurahisisha zoezi. Challenge ni demand ya mshahara kwahiyo kidogokidogo naenda nao taratibu. Kuhusu charges itakuwa badae maana kwa sasa bado tumeiweka free ili tuattract wadau. Kuhusu accuracy ni shabaha yetu kuweka mifumo ya kugundua tangazo feki.
 
Baada ya josefu anafuata nani ? Kimathi au Wanjiru
Maana naona umechafua na wadhungu tupu
 
You can do it on lovable within minutes ni rahisi sana same to replit. But at certain time utahitaji software engineer kwaajili ya kumaintain, scale, fix bugs(bado matatizo yapo kwenye app huwezi kuona sasa hivi), vilevile security na best practices. Knowledge is unescapable kujifunza kupo palepale.
 
Baada ya josefu anafuata nani ? Kimathi au Wanjiru
Maana naona umechafua na wadhungu tupu

Kaka hayo ni majina yangu halisi, sipendi kufake kitu chochote cause I don't mess with authorities, sisemi kuwa I'm proud of it which I'm, ila niko proud of Africa na utanzania wangu. Majina ni vitu vya kawaida tu.
 
Mojawapo ndio hii hapa jamii forum,kwa mfano landing page inatakiwa ijibu lengo kuu la app ambalo ni Kupata chumba,hivyo nategemea kuona Search na featuring ads za vyumba

Sawa, pia nawakaribisha kwenye group mahususi la kushare zaidi mambo mengi kuhusu app yetu ya PataChumba
 
Plan- review - build - test
Tumiq chat gpt kufanya planning,tazama hiyo kitu Toka kwa chatgp
 
Attachments

  • ChatGPT Image Sep 26, 2026, 11_47_42 AM.png
    ChatGPT Image Sep 26, 2026, 11_47_42 AM.png
    1.5 MB · Views: 1
Back
Top Bottom