kutengeneza app

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kelvin John Joseph

    JamiiForums Tanzania Nimeweza kutengeneza App kwa kutumia AI

    Katika harakati zangu za kuhakikisha wazo langu halibaki kichwani tu, nikaanza kutafuta njia za kulifanikisha wazo hilo. Si ndo nikakutana na AI, basi bwana, nikatia nia, nikatia juhudi na maarifa kidogo, na sasa hatimaye nimefikia hapa. Ni PataChumba, hii ndiyo ilikuwa ndoto yangu ya muda...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Wapangaji mnalalamika sana, Nimeamua kutengeneza App ya kukodi moja kwa moja bila Dalali

    Habari za Jioni, Wengi wenu hampendi madalali, mnaona kama kutoa kodi ya mwezi ni issue, basi msijali, leo mmefikiwa. Hii app ni ya iOS nimeandika mwenyewe kama hobby, sina team yeyote hivyo anayetaka kujiunga kwenye hii project aseme, maana nina kazi kazi nyingi za kufanya. Demo video yake...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mbadala wa EFD, TRA kutengeneza programu tumizi (app) kutolea risiti za kielektroniki

    Katika kutekeleza mapendekezo ya kiutawala yaliyotolewa na Tume ya Rais ya Maboresho ya Mfumo wa Kodi, Serikali kupitia Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2026/2027 imetangaza mfumo mpya wa urahisishaji wa utoaji risiti nchini. Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) itatengeneza programu tumizi (application)...
  4. Manepesa

    JamiiForums Tanzania Taratibu za kufuata kitaifa na kimataifa unapotaka kutengeneza app yako ni zipi?

    Wakuu Naomba tuambizane hapa ni zipi taratibu za kufuata unapotaka kutengeneza app yako, haswa taratibu zile za kisheria, za ki-nchi, kimataifa, ila kulinda project yako kisheria dhidhi ya "majangili" ya kuona project za watu na kukopi na kujipatia utajiri kirahisi kwa dhulma. Na kama Kuna...
Back
Top Bottom