Nimeweza kutengeneza App kwa kutumia AI

Nimeweza kutengeneza App kwa kutumia AI

Je umevutiwa na PataChumba App?

  • Ndiyo

    Votes: 9 81.8%
  • Hapana

    Votes: 3 27.3%

  • Total voters
    11

Sasa kaka mbona umeipost safari nyingi sana, unaintend kunielekeza au kupromote page? Fungua uzi!
 
UI ,yes kwanza tuambie target user wa system Yako ,tujue behavior zao kwa mfano watu wengi wanaotafuta vyumba ni low computer literacy,wanatumia simu

Kwakuwa teknolojia inakua kwa kasi niliona baada ya miaka mitatu mbeleni asilimia kubwa ya shughuli zitafanyika kwa njia ya mtandao, kwahiyo naweza kusema target yangu ni watu wote nchini hasa wale wenye smartphone. Najua challenges lakini nina hakika taratibu wataelewa na kuadopt mfumo.
 
Back
Top Bottom