Ni dhambi kutokunywa?Kwanini na wewe mwanaume kabisa unasifia kutokunywa pombe
Ni dhambi kubwaNi dhambi kutokunywa?
Tena isiyo na msamaha 😎.Ni dhambi kubwa
Only in Africa.Ni dhambi kubwa
Sasa kama mwanaume hunywi pombe unakuwa unakunywa Nini?Only in Africa.
Asante sanaHongera maana sio jambo rahisi
Hawa ndo wanaume wanywa mirinda orangeTena isiyo na msamaha 😎.
Halafu akimaliza mdomo unakuwa mwekunduuu.Hawa ndo wanaume wanywa mirinda orange
Ndo wanaanza kusema tamuuuuHalafu akimaliza mdomo unakuwa mwekunduuu.
Hela za pombe sasa utakuwa unaenda kuwatajirisha manabiiHabari wadau.
Nashukuru Kwa wote mlio nijenga juu ya namna ya kuacha pombe nilipoomba USHAURI MWAKA 2022. Naelekea miaka 4 Sasa bila kunywa pombe Nilikuwa mlevi sanaaaaaaaaaaaaaaa wa pombe aina zote za dukani na kienyeji.
Nimelewa Toka 2010 mpaka 2022 nimeacha. Mali zimekwisha ila Mimi nipo hai na salama.
Nimeanza upyaaaaaaaa nikiwa na amani tele.
Asante Sana JamiiForums.
SAWA tuHawa ndo wanaume wanywa mirinda orange
Huku wakiwa wamebana sauti zao utadhani wa kike 😂Ndo wanaanza kusema tamuuuu
Asante SanaHongera maana sio jambo rahisi
Mwanaume anafika anasema nipe Ile tamuuuuHuku wakiwa wamebana sauti zao utadhani wa kike 😂