MZEE MSASAMBEGU
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 2,776
- 2,556
Jamani huyu mwanamke ndo alinitoa bikira yangu akawa ameniacha bila sababu.nimejaribu kumsahau but nimeshindwa bado nampenda.msaada jamani nifanyaje ili turudiane nae
m.mke kakutoa bikra!?????? bila shaka wew ni msagaji, kaitoaje uyo au katia vdole?!???
Du hatariiiii
keshaharibiwa tayari huyo, na huwa hawaachi! nyie wanawake wa sku hizi mna roho ngum sana, hiyo midoli mnayoficha kwenye droo zenu mnaharibu vijana.
keshaharibiwa tayari huyo, na huwa hawaachi! nyie wanawake wa sku hizi mna roho ngum sana, hiyo midoli mnayoficha kwenye droo zenu mnaharibu vijana.
Ninunulie viwili basii maaana nshachoka na vya wanaume