Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,036
- 168,674
Wacha wee! Yuko darasa la kumi na ngapi?
^^
LA Pili B
Wacha wee! Yuko darasa la kumi na ngapi?
^^
LA Pili B
Chuo umemaliza mwaka gani ?
Sua ulienda mwaka gani ??
wala hakuna ubaya
Hapa wewe ndio mtoa ushauri wa mapenzi Leo imekuwaje ?
Tatizo ukigegeda unatangaza mzee wewe
kwa kulalamika
bingwa yamekukuta
ha ha ha ha..........chezeiya JF wewe.........dah.......
Chuo umemaliza mwaka gani ?
Sua ulienda mwaka gani ??
wala hakuna ubaya
Hapa wewe ndio mtoa ushauri wa mapenzi Leo imekuwaje ?
Tatizo ukigegeda unatangaza mzee wewe
kwa kulalamika
bingwa yamekukuta
kaka achana wa hawa watoto wa shule ni washenzi sana me nilijitoa mapema uwa naulizia ana issue gani,kisika udom,mzumdeudsm ,saut,ifm,uhasibu, wewe unifahi wanapig mzing hao kam kuna soma kweny hzi course zao,
Na sasa itabidi wajue kwa lazima!Tatizo watu hawajui kuingia humu lazima ujipange.........
Nitumie namba yake nimuonye,kwa kweli hajafanya vizuri,nakuhakikishia ntamuonya na hatarudia.
Jamani jana usiku nilikuwa naongea na mpenzi wangu ambaye ni mwanafunzi na mda huu yupo shule.but nikagundua kaniweka loudspeaker na rafiki zake wanacheka navyoongea nae nikagundua wanacheka kutokana na maongezi yangu kwake.mi nimegundua hanipendi angekuwa ananipendai asingenifanyia hivyo.msaada jamani nimfanyaje?
Tukushauri wakati anaweza akawa ni ndugu au mdogo wangu!