Nimewekwa loudspeaker na mpenzi wangu

Nimewekwa loudspeaker na mpenzi wangu

Chuo umemaliza mwaka gani ?




Sua ulienda mwaka gani ??


wala hakuna ubaya
Hapa wewe ndio mtoa ushauri wa mapenzi Leo imekuwaje ?


Tatizo ukigegeda unatangaza mzee wewe


kwa kulalamika




bingwa yamekukuta
U are not correct, we c mzima
 
kaka achana wa hawa watoto wa shule ni washenzi sana me nilijitoa mapema uwa naulizia ana issue gani,kisika udom,mzumdeudsm ,saut,ifm,uhasibu, wewe unifahi wanapig mzing hao kam kuna soma kweny hzi course zao,

Ahsante mkuu kwa ushauri
 
Ila kuna wanaume wapumbavu jaman!!! Kweli nimeanza kuamini kuwa wanawake wana kazi sana! Imagine dude kama hili lililoanzisha thread ya utumbo kama huu!! Sijui ndio utoto?!
 
Nashauri kila anae post thread alipie thread yake,
Nadhan ikiwa hvyo mtu huwez andika utumbo kama huu,
Acha uzembe wewe kila siku nakuambia ila hutaki kunielewa,ungekuwa karibu ningekuchapa makofi
 
Back
Top Bottom