Safi sana Dena Amsi una mapenzi ya ku share hadi shetani anakuogopa hivi kweli unampenda Mr Rocky? Mbona wanakutafunia na miss chagga huna Wivu?
Tafadhali muongeze kiwatengu kinywaji cha kutosha.... hao wengine apo waruke.. ata Mr Rocky mruke. miss chagga mpe, Ntuzu mpe, mwallu anatumia kinywaji cha gharama ivo? Mruke. sungura1980 mpeee na uyo nanii apo mpe janeth1
shansarie mpaka wewe shemeji yangu unanikana kama Pilatohata mi shahidi ulisema mwenyewe kwamba dena amekukimbia so umeamua kuopoa muke mupya saivi unakana
Dena ni noma, hasikii wala haambiwi.
dawa aliyokula haijaisha nguvu...
Safi sana Dena Amsi una mapenzi ya ku share hadi shetani anakuogopa hivi kweli unampenda Mr Rocky? Mbona wanakutafunia na miss chagga huna Wivu?
Hapa yangu majicho siitaji kunywa sitafahidi game vizuri....
Mke halali niko hapa
Mr Rocky jana ulisema nini na leo unafanya nini?
Mahindi utapata na karanga pia njugu ila hayo ya kukabidhiwa nooooo still love my huby
Dena Amsi karibu sana mke wangu mpandwa hapa tulikuwa na kamchepuko kameingilia mapenzi yetu ila niko na wewe daima miss chagga tuliza boliu mwenye mali karudi wewe kaa kimya kwa sasa bana